Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

wakati mnatuletea hizi drama msisahau kutuambia Bandari zimeuzwa bei gani …
 
W ewe jamaa acha kujifanya kichwa ngumu, huyo alikua lazim apatikane kwasbb saut ilipazw. Wakaona ohoo yasiwe makubwa ngoja t arudi, lkn kiufup huyo alikua tyr ashaolewa. Ayo mengin unajiongez t kaka
 
MPENI NAFASI ARUDI SHULE MENGINE NI MBWEMBWE TU.ATAFUTIWE SHULE PENGINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…