Ni mda huu naona picha zimebandikwa na Tangazo la kifo cha dada mpendwa wa mwaka wa I katika kitivo cha Humanities,alikua amelazwa zahanati ya MUCE Kwa siku10 na alikua anaumwa na tumbo na kichwa na wanasema alichanganyikiwa.Muumba awe nasi katika maombole

Kwenye "WHAT IS IN JAMII FORUMS" Bila shaka sasa ni fursa ya kuwekwa sehemu ya matangazo ya vifo tu...Yaani hata jina la marehemu na mahali atokapo umeshindwa kuweka? What an incomplete information (always in writing a piece of information consider what,who, how, where, and when?) Rest in Peace marehemu dada yetu.