BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Ni mda huu naona picha zimebandikwa na Tangazo la kifo cha dada mpendwa wa mwaka wa I katika kitivo cha Humanities,alikua amelazwa zahanati ya MUCE Kwa siku10 na alikua anaumwa na tumbo na kichwa na wanasema alichanganyikiwa.Muumba awe nasi katika maombole