Mwanafunzi First year kafariki leo tar12 Mkwawa constituent clg of Dar

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Ni mda huu naona picha zimebandikwa na Tangazo la kifo cha dada mpendwa wa mwaka wa I katika kitivo cha Humanities,alikua amelazwa zahanati ya MUCE Kwa siku10 na alikua anaumwa na tumbo na kichwa na wanasema alichanganyikiwa.Muumba awe nasi katika maombole
 
  • Thanks
Reactions: sao

Tujalie picha yake may b tunaeza kuwa tunamfahamu.
 
cc ni mavumbi na tutarudi mavumbini,Mungu ailaze roho yake mahal pema peponi.AMINA
 
Picha sitaipata jameni mana imebandikwa notice board wapendwa
 
Asanteni wapendwa mana ndo tumefungua lastweek
 
Ndo tunauaga mwili hapa A.H
 
Poleni sana wapendwa

Mungu aiweke roho ya marehemu pema pepomi

amen
 
Ni mda huu naona picha zimebandikwa na Tangazo la kifo cha dada mpendwa wa mwaka wa I katika kitivo cha Humanities,alikua amelazwa zahanati ya MUCE Kwa siku10 na alikua anaumwa na tumbo na kichwa na wanasema alichanganyikiwa.Muumba awe nasi katika maombole

Yaani hata jina la marehemu na mahali atokapo umeshindwa kuweka? What an incomplete information (always in writing a piece of information consider what,who, how, where, and when?) Rest in Peace marehemu dada yetu.
 
Kwenye "WHAT IS IN JAMII FORUMS" Bila shaka sasa ni fursa ya kuwekwa sehemu ya matangazo ya vifo tu...
Tena ikiwezekana na vigezo vya kuandika hilo tangazo viwekwe vyema.:mod:
 
Back
Top Bottom