rodian
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 246
- 323
Mtu mmoja ambaye inasadikika kuwa Ni mwanafunzi wa QT jinsia ya kuume katika shule ambayo haikujulikana Mara moja,amezama maji katika ufukwe wa Ununio.Tukio Hilo limetokea majira ya SAA 10 jioni,inasemekana alikuwa akiongelea na wenzake wanne wasichana watatu na mmoja wa kuume ambao waliokolewa,Hadi kufikia mda huu mwili wake Hauja patikana.k
Kwa maelezo ya wenyeji inasemekana walionywa kuogelea maeneo hayo kabla ya tulio.
Hizi Ni baadhi ya picha nilizopiga majira ya SAA MOJA kasoro Ikionyesha Hali ya bahari kwani maji yamejaa Sana.
Kwa maelezo ya wenyeji inasemekana walionywa kuogelea maeneo hayo kabla ya tulio.
Hizi Ni baadhi ya picha nilizopiga majira ya SAA MOJA kasoro Ikionyesha Hali ya bahari kwani maji yamejaa Sana.