Mwanafunzi mmoja amefariki baada ya kuzama maji.

Mwanafunzi mmoja amefariki baada ya kuzama maji.

rodian

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2016
Posts
246
Reaction score
323
Mtu mmoja ambaye inasadikika kuwa Ni mwanafunzi wa QT jinsia ya kuume katika shule ambayo haikujulikana Mara moja,amezama maji katika ufukwe wa Ununio.Tukio Hilo limetokea majira ya SAA 10 jioni,inasemekana alikuwa akiongelea na wenzake wanne wasichana watatu na mmoja wa kuume ambao waliokolewa,Hadi kufikia mda huu mwili wake Hauja patikana.k

Kwa maelezo ya wenyeji inasemekana walionywa kuogelea maeneo hayo kabla ya tulio.

Hizi Ni baadhi ya picha nilizopiga majira ya SAA MOJA kasoro Ikionyesha Hali ya bahari kwani maji yamejaa Sana.
PHOTO_20200313_185322.jpg

2336773_IMG_20200313_185118_2.jpg
 
Attachments

  • IMG_20200313_185118_2.jpg
    IMG_20200313_185118_2.jpg
    164.9 KB · Views: 1
Kwanini usambaze hizi picha? Hujui kwamba huu ni uchochezi. Watalii wakijua kwamba Ununio kuna chunusi unadhani watakuta tena Tanzania?
 
Kuna dogo amesema anazama ndani ya maji aiseee....

Hebu fatilieni
 
Chongoe amepost usiku huu,SAA moja haijapita tangu apost. Kuzama ni SAA kumi jioni
 
SAA NNE usiku MTU aseme anazama . SAA kumi jioni siku hiyo hiyo MTU alizama. Ni watu wawili tofauti. Au mtu mmoja mwenye nia ovu
 
Jamaa alopost yake bado,nadhani anajishauri.
Kukosa demu kuna sababisah hata mwanaume kujiua,yani wewe upo na mtoto mzuri halafu unajiua ili iweje.
 
Jamaa alopost yake bado,nadhani anajishauri.
Kukosa demu kuna sababisah hata mwanaume kujiua,yani wewe upo na mtoto mzuri halafu unajiua ili iweje.
Akili za kingono ngono tu humuwazi mengine!

Wewe unawaza mademu. Mwenzako ana mke na watoto lakini bado swala la kujiua linamkabili!

Pumbavu,😂😂😂 mkikua mtajua kuna maisha nje ya ngono!
 
Akili za kingono ngono tu humuwazi mengine!

Wewe unawaza mademu. Mwenzako ana mke na watoto lakini bado swala la kujiua linamkabili!

Pumbavu,😂😂😂 mkikua mtajua kuna maisha nje ya ngono!
Ungekua umekua mkubwa ungeelewa nilicho maanisha,tatizo bado unasoma kama mtoto mdogo,hebu mtafute mtoto wa form one kisha mpe asome uzi halafu mrejeshe katika comment yangu halafu muulize alichoelewa,hapo nadhani utakua umejipima akili kwa kiasi kikubwa sana.
Eti ana mke na watoto na swa;a la kujiua lina mkabili,akili za usiku za wasafiri wa Serenget hizi.
 
Nasikia mwalimu na wanafuzi walikuwa wanapiga gambe.
 
SAA NNE usiku MTU aseme anazama . SAA kumi jioni siku hiyo hiyo MTU alizama. Ni watu wawili tofauti. Au mtu mmoja mwenye nia ovu

Watu 2 tofauti 🙂.
 
Back
Top Bottom