TANZIA Mwanafunzi SAUT afariki akiwa ameenda kuogelea ziwani

Apumzike kwa amani
 
Shida ya ziwani mguu ukinasa hata kwenye jiwe kama hakuna mtu wa kujiuliza mbona huibuki utakufa tu.
 
Alishindwa kutulia hostel au ghetto kwake? Hao wenzake walishindwa vipi kumuokoa akiwa anapigania uhai wake?

Mambo mengine mbona yanaepukika kabisa!! Polee kwa wafiwa.

Rip dear!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Tarehe ikifika hata angekaa ndani,Lori lingegonga nyumba 😭
 
Alishindwa kutulia hostel au ghetto kwake? Hao wenzake walishindwa vipi kumuokoa akiwa anapigania uhai wake?

Mambo mengine mbona yanaepukika kabisa!! Polee kwa wafiwa.

Rip dear!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Umepumzika zako mwenyewe nyumbani, Unakula zako ugali na nyama saa unameza tonge chafya inakuja, unataka kupiga chafya tonge na nyama vinakupalia na kukwama kooni, chafya haitoki, kupaliwa si kupaliwa, kukabwa si kukabwa, hakuna mtu wa kukupiga ngumi ya mgongo, maji huna, unakosa hewa unakufa halafu anatokea mtu kama wewe anauliza maswali

Alikuwa anakula ugali kwanini? Alikosa mtu wa kula nae ugali? Mambo mengine mbona yanaepukila kabisa?
 
Basi hayaa!!
 
Kwanini ule pekeyako?
 
Itakuwa ujuaji na kutaka ujiko kwa wenzie likely walikuwa na mademu zao.

Kama hujui kuogelea unaendaje kina kirefu?
 
Maji mbona mazuri(Pure water) si kama Mwambao wa Bahari ya Hindi.

Labda kuna baadhi ya sehemu kulingana na shughuli za pembeni ndio zinaweza kufanya huo muonekano wa maji
Mmmh labda,nilibahatika kukaa kwenye baadhi ya fukwe mmh Kwa kweli nilipata hofu tu
 
kafaraa hiooo
 
Tonge likwame kooni, hiyo ngumi ya mgongoni ya KAZI Gani🤔
 
Mmmh labda,nilibahatika kukaa kwenye baadhi ya fukwe mmh Kwa kweli nilipata hofu tu
Hapo ilikuwa kwenye huo ufukwe uliobahatika kuutembelea.

Ufukwe kama huu alipofia huyu Mwanafunzi ni mzuri sana, maji masafi. Pia fukwe nyingi tu nilizowahi kuzitembelea zipo njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…