Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Kwanza, mimi sijauliza maswali wewe poyoyo. Nimeuliza swali moja tu.Unauliza maswali ya hovyo sana
Ni katika harakati za kuokoa tu unafanya lolote. Hujawahi sikia mtu kapigwa ngumi ya mgongo akatema nyama yenye mfupa iliyokuwa inazuia asipumue?Tonge likwame kooni, hiyo ngumi ya mgongoni ya KAZI Gani🤔
Unakula tu.Kwanini ule pekeyako?
Unakula tu.Kwanini ule pekeyako?
Maji yana nguvu sana, unaweza pima kwa macho ukapotea mazima.Duuuh inaumiza sanaa!! Nilishataka kufa na maji.
Naheshimu sana vyanzo vya maji yanayotiririka.
Haswaa!!Maji yana nguvu sana, unaweza pima kwa macho ukapotea mazima.
Duuuh inaumiza sanaa!! Nilishataka kufa na maji.
Naheshimu sana vyanzo vya maji yanayotiririk
Ni hatari rkn salama...Duuuh inaumiza sanaa!! Nilishataka kufa na maji.
Naheshimu sana vyanzo vya maji yanayotiririka.
Ajali kazini tu bibie 😀Alishindwa kutulia hostel au ghetto kwake? Hao wenzake walishindwa vipi kumuokoa akiwa anapigania uhai wake?
Mambo mengine mbona yanaepukika kabisa!! Polee kwa wafiwa.
Rip dear!! [emoji24][emoji24][emoji24]
Jinsia gani huyo marehemu habari nusu nusu!Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach.
Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao walikuwa wameenda Nao kuogolea katika Maeneo hayo ya Kando kando ya Ziwa Na Na Kifo hicho kimetokea Jana Siku ya Mei Mosi Ambako Wanafunzi walikuwa Hawana vipindi Madarasani.
Mwanafunzi Aliyefariki Anasoma Shahada ya Kwanza katika Fani ya Ualimu Kwa Mwaka wa Kwanza (BAED 01)
Katika Hatua Nyingine Mwili wake Ulitolewa Ziwani Leo Na Jeshi La Uokoaji Kanda Ya Mwanza Mara Baada ya Jana Kuzama na Kushindwa kupatikana kutoka Na sababu Zilikuwa kuwa Nje ya Uwezo.
Baadhi ya Wakazi katika Maeneo ya Sweya Wanasema Kuwa Imekuwa Ni Desturi kwa Wanafunzi wanao Soma SAUT kuja Kuogelea Katoka Hayo Maeneo kipindi wawapo masomoni Wakirejelea Kipindi Cha Mapumziko Ama Siku za Mwisho wa juma (Week end) huwa kuna Idadi kubwa ya Wanafunzi.
Vile vile Wanasema Wanafunzi wengi hupendelea kuja Kupiga Picha Na Kukaa Nyakati za Jioni
Chanzo:Taarifa Na ME
Usishangae wakikwambia walikwenda kutafuta pump ya kupunguza majiKatika Hatua Nyingine Mwili wake Ulitolewa Ziwani Leo Na Jeshi La Uokoaji Kanda Ya Mwanza Mara Baada ya Jana Kuzama na Kushindwa kupatikana kutoka Na sababu Zilikuwa kuwa Nje ya Uwezo.
Ni hatarii mnoo.Ni hatari rkn salama...
Siwezi fahamu ilikuwaje lkn kwa uzoefu wangu kuhusu kuogelea ni vyema ukawa unafahama historia ya eneo husika,mazingira yake hasa uwepo wa tope na mapango.Hakika uchunguzi ufanyike, hao wenzake wabanwe waeleze ukweli.
Inaumiza sana, kijana mdogo anakatisha ndoto zake.Ajali kazini tu bibie [emoji3]
Alafu ziwa liko kama beseni maji yapo ugokoni hatua mbili mbele ni 500m kwenda chini kwahiyo unatakiwa ujue kuogelea kweli
Duuuh hii hatarii sasa.Siwezi fahamu ilikuwaje lkn kwa uzoefu wangu kuhusu kuogelea ni vyema ukawa unafahama historia ya eneo husika,mazingira yake hasa uwepo wa tope na mapango.
Huenda ukazama chini na ukanasa pangoni au topeni na hasa maji yakiwa hayajatulia (machafu) kiasi cha kutokukuwezesha kuona mbali pindi uzamiapo.
Lkn kuna ile ghafla huko eneo lenye kina kirefu bila kutarajia sasa ile kupima urefu wa kina cha maji kama siyo mzoefu wa kuogelea hupelekea kukosa msawazo (balance) na hivyo maji kukupeleka yatakako.