Kihande Senior Member Joined Nov 6, 2016 Posts 194 Reaction score 197 May 2, 2024 #61 angeenda fisheries buku tatu tu kuliko kweny ziwani maji ya baridi mazito alaf yanakumaliza chap tu
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 6,585 Reaction score 10,363 May 2, 2024 #62 cocastic said: Duuuh inaumiza sanaa!! Nilishataka kufa na maji. Naheshimu sana vyanzo vya maji yanayotiririka. Click to expand... Ulishataka kufa na majI? Yan uliamua kufa ukahairisha?
cocastic said: Duuuh inaumiza sanaa!! Nilishataka kufa na maji. Naheshimu sana vyanzo vya maji yanayotiririka. Click to expand... Ulishataka kufa na majI? Yan uliamua kufa ukahairisha?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 May 2, 2024 #63 Vesper-valens said: Ulishataka kufa na majI? Yan uliamua kufa ukahairisha? Click to expand... Nilinusurika kufa kwenye maji,
Vesper-valens said: Ulishataka kufa na majI? Yan uliamua kufa ukahairisha? Click to expand... Nilinusurika kufa kwenye maji,
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 May 2, 2024 #64 Kuwa Makini Sana kama huna uzoefu na jambo Fulani. Usione haya kuwa hujui na huna mpango wa kulitekeleza
Kuwa Makini Sana kama huna uzoefu na jambo Fulani. Usione haya kuwa hujui na huna mpango wa kulitekeleza