Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,440
Reaction score
8,149
Kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.

Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI, watu walikuja na kupiga bila kuuliza.



 

jamaa kaenda kwa demu wake ambaye ni mwanachuo mwenzake kakuta sms sio kwenye simu ya demu then akamuambia demu anaondoka na simu demu kampigia
mwano wa mwizi jamaa kapigwa hadi kufa
 
hii tabia ya wananchi kujichukulia sheria mkononi bila kufanya uchunguzi inakera sana,tumepoteza ndugu,jamaa na marafiki kwa kusingiziwa wizi.inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…