Kwa wale wanaojaribu ku divert hii issue na kumfanya huyo dada aonekane hana makosa mna madhambi mbele za Mungu na mnalijua hilo!
Marehemu alikua ni agent wa warembo/ma miss na amefanya kazi na wanafunzi wengi wa SAUT wa kike na wa kiume na wanamfahamu sana, japo sio wote. Na huyo mwanamke ni girlfriend wake wa muda sana kilichotokea anakijua vizuri sana tu!!
*Hivi unaanzia wapi kumuitia mwizi boyfriend wako kisa tu amekuta text za michepuko kwa simu!?
Mabinti wa SAUT wabadilike maana Matukio ya vijana (wa kiume) kupoteza maisha hapo Chuoni kwa sababu za "kimapenzi" ni mengi, binafsi kaka yangu alinusurika kufa baada ya kupigwa risasi na "pedeshee" aliekua anachepuka na wifi yetu!!