Mwanafunzi simiyu afariki kwa kupigwa na mwalimu. waziri wa elimu lifanyien kazi hiili hii shule wanasema ni mara ya tatu mtoto kufariki

Mwanafunzi simiyu afariki kwa kupigwa na mwalimu. waziri wa elimu lifanyien kazi hiili hii shule wanasema ni mara ya tatu mtoto kufariki

Siwachukii Ata mzee Leo! Ata maandiko yanasema mtoto usimunyime mapigo

Hayo maandiko yameanzia huko kwa mabeberu mbona hawachapi watoto wao?

Kuna kitu wamissionary hawakusema ukweli wakati wanaleta hizo dini.
 
Hayo maandiko yameanzia huko kwa mabeberu mbona hawachapi watoto wao?
Nafikiri namna tulivyojishape sisi wenyewe hivi ulishawah kwenda kwenye Familia za vile vitoto vinaoitwa junior au shebby badala ya shaban?
 
Kila siku tunawambia achana na watoto wa watu hamsikii.
Afisa taaluma anakwambia nataka ufaulu asilimia mia ,likikukuta jambo yeye anakaa pembeni
 
Nimekaa somanda mkuu Yani kipindi hicho nikilala tu sasita mchana especially nikiwa nimelala chali naota nadinyana na mwanamke hadi napiz Sasa najiuliza hizo friction zilitoka wapi
😂😂Somanda pale shulen mwakajuzi wanafunzi waliliwa nafis. somanda pa kiwaki sana pale kunamtaa upo kwa nyuma ya hospital kule ni balaa wanawanga hatar kunadogo alijenga ila kaikimbia nyumba
 
😂😂Somanda pale shulen mwakajuzi wanafunzi waliliwa nafis. somanda pa kiwaki sana pale kunamtaa upo kwa nyuma ya hospital kule ni balaa wanawanga hatar kunadogo alijenga ila kaikimbia nyumba
Ile shule ya bariadi seco sio?
 
Mwanafunzi MMOJA amefatriki SIMIYU kwa KUPIGWA na MWALIMU kisa kuchelewa kupeleka hmwk

Akiongea kwa huzuni mama MZAZI WA marehemu amesema mwanae alienda shule

Alipofika ghafla akapigiwa simu na mwl mkuu mtoto amepata shida akamuuliza shida gan akamwomba aje shule mtoto amedondoka

Akamwomba kaka yake waende nae alipofika akakuta shule nzima wanafunzi wanalia akaogopa kysogea

MJombanmtu akamwona mwl mkuu akamweleza mtoto amefatriki kuna mwl kaha na kisiran AKAINGIA darasan akapiga watoto 14 kwa KUSHINDWA KUMALIXA homework

AKASEMA wakiume walipgwa fimbo 6
Wanawake 10

HAPO usiniulixe tofauti imetokea wapi

BAADA ya mda mwanaoo akadondoka akaanza kutoa povu

Wakati anajiandaa kutaka kukimbia wanafunzi wanakimbilia mlango wakamfunga wakipiga kelelee ndipo wakajaza walimu kadhaa na mwl mkuu na ndio wakakuta hali halisi iliyopo

HAKIKA tutaonja mauti kila mtu lakini sio kwa maumivu hayaaa

Waziri WA ELIMU huyu fwatilieni wengi wanakuja kutoka sijui wanatumia RUSHWA amalah

Sad
 
Unapigaa mpaka unauaaaaaaa aisee huyu akupigwaaa makaliooo tu

Labda sikumalizia BAADA ya vipimo
Kamanda WA polisi kasema amekutwa na damu ikivuja kichwanii

Na wakarudi kuwahojii wanafunzi wakasema BAADA ya kumpiga alipodondoka mwl akamkanyaga KICHWANI kama anasimamia baiskeli

Ndugu huyu HATA polisi asingefika

Nawaza wanaenda polisi hao wananchi wamechoka ama
 
Kila siku tunawambia achana na watoto wa watu hamsikii.
Afisa taaluma anakwambia nataka ufaulu asilimia mia ,likikukuta jambo yeye anakaa pembeni
Walee maafisa washenzi mkuu ndio wanatakiwa wawe. Washtakiwa wakwanza kwenye haya mauwaji
 
Ongezea mwalimu alimkanyaga mtoto kichwa na ripoti ya daktari inasema chanzo cha kifo ni damu kuvulia kwenye ubongo.
 
Pole kwa wazazi jamani na hata mwalimu uwiii tena simiyu huko😓
 
Yaani nikiangalia kila siku taarifa ya habari walimu wanavyoliaaa mishaharaaa yaooo sijui malipoyaoi na wamejaaza fomu zotee kisa mouuzi MMOJA anazuia aiseeeee kupeleka mtoto serikalini kuna hitaji moyo sana

Wale walimu WANAINGIA DARASANI na mambo mengi kichwan YAAN mengi ila hayawaruhusuuu kumuua mtoto huu n ushenzii
 
Ticha naye kazingua fimbo kumi kisa Homework, ni darasa la ngapi hao wanafunzi waliokula mbarati
 
Back
Top Bottom