GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtoto Nazia Samweli (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai siku ya Jumanne.
Mama mkubwa wa marehemu, Happy Msenga, ameiambia Habarileo kuwa mpaka sasa uongozi wa shule hiyo umeshindwa kutoa maelezo kuhusiana na kifo cha mwanafunzi huyo.
"Mpaka sasa uongozi wa shule umeshindwa kutuambia ilikuaje mtoto hadi kutumbukia kwenye sufuria la chai, hatuelewi, jana wametuletea machakula yao tu hapa, hawasemi nini kilitokea alisukumizwa, alikuaje hadi kufika jikoni, inaumiza sana," anasema
HabariLeo
Kama hiyo Shule haimilikiwi na Kanisa Katoliki nchini naomba radhi kwa kulitaja Kanisa Kimakosa, ila kama inaimiliki basi inalichafua mno Kanisa.