Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Nimejaribu kuangalia gesture za huyu bint. Mh Na ujasiri anao tena mkubwa ila kazi anayo.Hiyo Ndio field lakini.
Field wengi wanadanganyika sana, kuna mmoja tukiwa chuo alikuwa anatamba kutoka na boss huko field akiringishia na sms alizokuwa akiambiwa akimaliza chuo tayari anayo ajira. Tukawa tunamzoom tu na kumsikitikia, kaja kumaliza chuo hadi navoandika sasa yupo mtaani ni jobless. Hii ni wazi kuwa ndio michezo ya huko maofisini.
 
Shukrani mkuu πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Ndio dunia halisi ilivyo wala sio jambo geni la kupiga kerere sana.
Atapata filed kwa shida kweli huyo.
 
Babu shikamoo.

Nadhani wameona busara za wazee.

Tangu utoke ofisini miaka hiyo wakizaliwa mabinti wanaosumbuliwa na hii changamoto kuna hili la wao kuombwa rushwa ya ngono. Ushauri wako n upi, nini kifanyike kukomesha au kupunguza hali hii?
Marahaba Mkuu πŸ™

Kwa mujibu wa Sheria, kutoa ama kupokea Rushwa ni kosa kisheria. Rushwa ya ngono ni miongoni mwa aina mbalimbali za Rushwa tulizonazo kwenye jamii zetu.

Kwahiyo suala la mabinti kuombwa Rushwa ya ngono, ni kosa kisheria hivyo ni wito wangu Kwa mabinti wote wanaoombwa ngono huko maofisini ili kupewa huduma ni vyema wakaripoti tukio hilo ili hao waharifu waweze kukamatwa na kupelekwa Mahakamani.

Sisi Wazee tunawaheshimu hao mabinti as Kwa umri wanaweza kuwa sawa na umri wa mabinti zetu huko nyumbani.

Endeleeni kuwa na imani na Wazee πŸ€—
 
Mabinti wafuate ushauri wako kupambana na rushwa ya ngono maofisini.

Imani na wazee bado ipo japo mashambulizi ni makali sana.
 
Tamaa ni pande zote tu hakuna utetezi hata huko serikalini tumeshuhudia watu wakiwapa uDC na uRC vimada wao achilia mbali kwenye bodi mbalimbali.

Tatizo limeanzia mbali tusikate shina tukaacha mizizi .

Meritocracy haipo tena ndio maana mtu kama Baba Levo kwenye media akienda atasikilizwa ila akienda Professor Janabi wanasema anawatisha .
 
Imani na wazee bado ipo japo mashambulizi ni makali sana.
Hayo mashambulizi Kwa Wazee yametoka Kwa Vijana tu nahisi

Mabinti hawataki kukamiwa kunako baada ya kupewa kifuta Jasho cha eti 30k

Wakati Wazee tupo hapa tunatoa Posho ya 120k lakini tunapiga kimoja tu cha Afya cha sekunde 15 πŸ˜œπŸ€—
 
Muongozo upo tayari tena documented kabisa chini ya.ofisi ya waziri Mkuu. Sio watu wa field tu hadi interns nao kuna muongozo na kanuni zake.

Tatizo.watu.hawana taarifa na pia wahusika hawasimamii hiyo miongozo.

Ila pia vijana tutafute taarifa za kiutawala mtandaoni sio tu kutaka kujua Diamond ana date na nani.
 
Hayo mashambulizi Kwa Wazee yametoka Kwa Vijana tu nahisi

Mabinti hawataki kukamiwa kunako baada ya kupewa kifuta Jasho cha eti 30k

Wakati Wazee tupo hapa tunatoa Posho ya 120k lakini tunapiga kimoja tu cha Afya cha sekunde 15 πŸ˜œπŸ€—
πŸ˜‚ wakitoka hapo hiyo 120k anatafuta kijana anampa 20K anaongeza dakika pale mzee alipoishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…