Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Pole sana watoto wetu , haya mambo si mazuri kabisa. Mtoto anayeoa mwanafunzi wa Field ajue mtoto kishachezea kichapo kwa sana sana.
Huko field mambo ni mengi sana, niliwahi kuwa na pisi moja ya chuo ikaanza kuniambia huwa inatolewa lunch na mkaka wa kazini, baada ya muda nikabadilikiwa hata sikutaka kujua mchawi ni nani.
 
Naelewa mkuu
Najua wengine wametoka kwenye maisha ya chini na kuwaacha wazazi hawana kitu huku wadogo zake wana njaa
Ila huo sio ubinadamu wanaofanya watu.
Utakuta jitu lina watoto kama umri wa huyo lakini bila aibu anaomba
Unachosema ni kweli kabisa mkuu na wengi wanaofanya hivi wana familia. Kuna mkufunzi mmoja wa chuo X alikuwa mtafunaji mzuri sana wa wanafunzi, ana watoto wakike wazuri sana rika na wanafunzi wake. Nikawa nawaza huyu baba haoni hata aibu.
Mwishowe tabia yake ilizidi wakamuamisha, nasikia amepelekwa huko porini.
 
Wengi wao ndio hao wenye familia wakidhani wanafochiwa aibu au wanaogopa kusema
Lakini hawana mwisho mwema hao wazee
Na wanasema what goes around
 
Huko field mambo ni mengi sana, niliwahi kuwa na pisi moja ya chuo ikaanza kuniambia huwa inatolewa lunch na mkaka wa kazini, baada ya muda nikabadilikiwa hata sikutaka kujua mchawi ni nani.
Mungu alikuepushia.
Fikiria kitoto cha mwaka wa pili IFM kimeiva hakijawahi kutoka out kinaingia field TRA, jioni mbaba anakabeba anakiambia wapitie samaki Samaki mlimani wakapate Baridi moja, katakataa?
 
Kwenye 100 anaweza akakataa mmoja tena huyo bado roho itamuuma sana, wanavyopenda out na kula kukataa ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…