Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #361
Kufa hamfi ila chamoto mtakiona.Hahaha...........najua lengo lako Wazee wote tukufe tu ili mjibebe Wajukuu zetu wote nyie 😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa hamfi ila chamoto mtakiona.Hahaha...........najua lengo lako Wazee wote tukufe tu ili mjibebe Wajukuu zetu wote nyie 😜
Huko field mambo ni mengi sana, niliwahi kuwa na pisi moja ya chuo ikaanza kuniambia huwa inatolewa lunch na mkaka wa kazini, baada ya muda nikabadilikiwa hata sikutaka kujua mchawi ni nani.Pole sana watoto wetu , haya mambo si mazuri kabisa. Mtoto anayeoa mwanafunzi wa Field ajue mtoto kishachezea kichapo kwa sana sana.
Ningoje ninibasi ngoja kwanza
isingesimuliwa!Imewahi kutokea?
Unachosema ni kweli kabisa mkuu na wengi wanaofanya hivi wana familia. Kuna mkufunzi mmoja wa chuo X alikuwa mtafunaji mzuri sana wa wanafunzi, ana watoto wakike wazuri sana rika na wanafunzi wake. Nikawa nawaza huyu baba haoni hata aibu.Naelewa mkuu
Najua wengine wametoka kwenye maisha ya chini na kuwaacha wazazi hawana kitu huku wadogo zake wana njaa
Ila huo sio ubinadamu wanaofanya watu.
Utakuta jitu lina watoto kama umri wa huyo lakini bila aibu anaomba
Sijakuelewaisingesimuliwa!
Wengi wao ndio hao wenye familia wakidhani wanafochiwa aibu au wanaogopa kusemaUnachosema ni kweli kabisa mkuu na wengi wanaofanya hivi wana familia. Kuna mkufunzi mmoja wa chuo X alikuwa mtafunaji mzuri sana wa wanafunzi, ana watoto wakike wazuri sana rika na wanafunzi wake. Nikawa nawaza huyu baba haoni hata aibu.
Mwishowe tabia yake ilizidi wakamuamisha, nasikia amepelekwa huko porini.
Mungu alikuepushia.Huko field mambo ni mengi sana, niliwahi kuwa na pisi moja ya chuo ikaanza kuniambia huwa inatolewa lunch na mkaka wa kazini, baada ya muda nikabadilikiwa hata sikutaka kujua mchawi ni nani.
Comes around mkuu.Wengi wao ndio hao wenye familia wakidhani wanafochiwa aibu au wanaogopa kusema
Lakini hawana mwisho mwema hao wazee
Na wanasema what goes around
Kwenye 100 anaweza akakataa mmoja tena huyo bado roho itamuuma sana, wanavyopenda out na kula kukataa ni ngumu.Mungu alikuepushia.
Fikiria kitoto cha mwaka wa pili IFM kimeiva hakijawahi kutoka out kinaingia field TRA, jioni mbaba anakabeba anakiambia wapitie samaki Samaki mlimani wakapate Baridi moja, katakataa?
nitoe ushuhudaNingoje nini
Tuoneeni huruma Wazee wenu jamani 😅 😅Kufa hamfi ila chamoto mtakiona.
Kaanze na Aliyekuzaa.Kimeamka aisee,matibabu tafadhari
For sureA
Afya ya akili
Sawa yfiiKaanze na Aliyekuzaa.
ndio tulipofikia.Yani field tu wanataka uchi sasa hiyo ajira si mtatoa jicho kabisa, inatia huruma madafanta.
Anza sasa.nitoe ushuhuda
Kila mtu ashinde mechi zake.Tuongee huruma Wazee wenu jamani 😅 😅