ajira zimejaa tufanyeje wajameni sasa😂😂😂Ni hovyo sana mkuu, wazee wa jf waliangalie hili linawashushia heshima yao.
Ila pia mabinti wa 2000 nao wajiheshimu, wanapenda wazee sana kwa sababu ya kuzingatia maokoto.
Waru wame invest wamepambana sanaKabisa kaka,office yangu nimeijenga kwa miaka kitambo nikijua faida moja wapo ntakuwa na vuna mbususu za chuo na marup rup mengine alafu we papa moja unapiga kelele na huku wenzako wana achia utam kila wanapo taka field...Basi kwa mwambie huyo Charamile akupe field kwake
Usicheke mkuu, 24yrs bado sana kuyapitia hayo, huoni hata bi faiza watu wanatuma maombi 😂ata najali sasa 😂😂 mbona bado sana yani sana narudia tena sanaaaaaaaaa😂😂😂
HAPANA ushawahi sikia binti anamfata mzee..?Ni hovyo sana mkuu, wazee wa jf waliangalie hili linawashushia heshima yao.
Ila pia mabinti wa 2000 nao wajiheshimu, wanapenda wazee sana kwa sababu ya kuzingatia maokoto.
Unaona uhalisia Fundi manyumbaajira zimejaa tufanyeje wajameni sasa😂😂😂
Huyo field akiambiwa alete million 1 apewe nafasi atakuwa nayo?😁Hakuna cha bure lakini kwanini iwe rushwa ya ngono?
Hapa sina la kusema maana hasira niliyo nayo naweza piga mtu huku nilipo..Kabisa kaka,office yangu nimeijenga kwa miaka kitambo nikijua faida moja wapo ntakuwa na vuna mbususu za chuo na marup rup mengine alafu we papa moja unapiga kelele na huku wenzako wana achia utam kila wanapo taka field...Basi kwa mwambie huyo Charamile akupe field kwake
Uhalisia upi huo mkuuUnaona uhalisia Fundi manyumba
Mkuu labda kama hujawai kuwa na ukaribu na hawa mabinti, wanajilengesha kuna mazingira wanatengeneza ili mzee ajisogeze, na akishajisogeza ni kumpiga pesa tu.HAPANA ushawahi sikia binti anamfata mzee..?
Mi nadra sana ila mzee ndo anamfata binti huku akijua fimbo yake ni pesa.
Hovyo sana waache ufataki ifikie mahala wajiheshimu.
Hovyo kabisa
😂😂 Kumbe unajua sooo usinitishe,,nkifka 30 ndo ntaanza kufikiria kushtuka ,,anhaa kumbe mimi ni mwanamke,then 35 ndo naanza kupapatika sasa.Usicheke mkuu, 24yrs bado sana kuyapitia hayo, huoni hata bi faiza watu wanatuma maombi 😂
Mkuu sikatai watu wachapane miti wanavotaka.Mkuu sio mimi bwana ila najaribu kuwakilisha wakali wa hizi kazi. Unajua kuwa ngono ni starehe cheap kwa maskini kuliko hata ulevi? Na kuna namna kama 100 hivi za kupata hio starehe. Ofisini ni moja ya eneo tu watu wanachapana miti kirahisi.
Soma komenti ya huyo dadaUhalisia upi huo mkuu
Wazee wana shida mkuu.Mkuu labda kama hujawai kuwa na ukaribu na hawa mabinti, wanajilengesha kuna mazingira wanatengeneza ili mzee ajisogeze, na akishajisogeza ni kumpiga pesa tu.
Ni shida mkuuInasikitisha sana aiseeeh!
Hata Chalamila alikuwa Lecturer wa Ruaha University kabla hajakuwa RC Mbeya. Naye amewachezea sana wanachuo kwa maksi za chupiRushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.
Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
#milardayoupdates.
Ni kweli mkuu ila uchawi ni malezi.Wazee wana shida mkuu.
Unapiga mtoto ambaye umri anaendana na mwanao WTF.
Mkuu uchawi sio mtu mpaka aroge au avue nguo awange. Hata haya mambo wanayofanya wazee hasa wa humu jf nao ni uchawi
Huyo binti hamaanishi hapo..Soma komenti ya huyo dada
Ndio maana kashindwa kutoa jibu la moja kwa moja. Maofisini kuna ufuska mwingi sana.Hata Chalamila alikuwa Lecturer wa Ruaha University kabla hajakuwa RC Mbeya. Naye amewachezea sana wanachuo kwa maksi za chupi
Wazee wakaze hakuna kula mbususu za 2000.Ni kweli mkuu ila uchawi ni malezi.