Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

Kabisa kaka,office yangu nimeijenga kwa miaka kitambo nikijua faida moja wapo ntakuwa na vuna mbususu za chuo na marup rup mengine alafu we papa moja unapiga kelele na huku wenzako wana achia utam kila wanapo taka field...Basi kwa mwambie huyo Charamile akupe field kwake
Waru wame invest wamepambana sana
 
Ni hovyo sana mkuu, wazee wa jf waliangalie hili linawashushia heshima yao.

Ila pia mabinti wa 2000 nao wajiheshimu, wanapenda wazee sana kwa sababu ya kuzingatia maokoto.
HAPANA ushawahi sikia binti anamfata mzee..?
Mi nadra sana ila mzee ndo anamfata binti huku akijua fimbo yake ni pesa.

Hovyo sana waache ufataki ifikie mahala wajiheshimu.

Hovyo kabisa
 
Kabisa kaka,office yangu nimeijenga kwa miaka kitambo nikijua faida moja wapo ntakuwa na vuna mbususu za chuo na marup rup mengine alafu we papa moja unapiga kelele na huku wenzako wana achia utam kila wanapo taka field...Basi kwa mwambie huyo Charamile akupe field kwake
Hapa sina la kusema maana hasira niliyo nayo naweza piga mtu huku nilipo..
 
HAPANA ushawahi sikia binti anamfata mzee..?
Mi nadra sana ila mzee ndo anamfata binti huku akijua fimbo yake ni pesa.

Hovyo sana waache ufataki ifikie mahala wajiheshimu.

Hovyo kabisa
Mkuu labda kama hujawai kuwa na ukaribu na hawa mabinti, wanajilengesha kuna mazingira wanatengeneza ili mzee ajisogeze, na akishajisogeza ni kumpiga pesa tu.

Ila wanaume sisi ni hatari sana, kuna mzee yupo chini zaidi ya miaka 5+ kaparalaizi hawezi hata nyanyua mguu lakini bado anatongoza na kuhonga na mzigo anataka, niliambiwa nikashangaa sana 😂
 
Mkuu sio mimi bwana ila najaribu kuwakilisha wakali wa hizi kazi. Unajua kuwa ngono ni starehe cheap kwa maskini kuliko hata ulevi? Na kuna namna kama 100 hivi za kupata hio starehe. Ofisini ni moja ya eneo tu watu wanachapana miti kirahisi.
Mkuu sikatai watu wachapane miti wanavotaka.

Ila kwanini wazee wawe chanzo cha mambo ya ajabu ajabu kwa sasa.

Kuna uzi furani wa ukimwi walitoa takwimu wazee ndo wanaongoza kuambukiza.

Hawa wazee ni hovyo sana inabidi sasa tu deal nao perpendicular wanakera mno
 
Mkuu labda kama hujawai kuwa na ukaribu na hawa mabinti, wanajilengesha kuna mazingira wanatengeneza ili mzee ajisogeze, na akishajisogeza ni kumpiga pesa tu.
Wazee wana shida mkuu.
Unapiga mtoto ambaye umri anaendana na mwanao WTF.

Mkuu uchawi sio mtu mpaka aroge au avue nguo awange. Hata haya mambo wanayofanya wazee hasa wa humu jf nao ni uchawi
 
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila.

Baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila Chuoni hapo kukagua miradi ya ujenzi, alifanya mkutano na Uongozi wa Chuo pamoja na Wanafunzi wa Chuo hicho ambapo katika waliohusika kutoa maoni ni huyu aliyepaza sauti kuhusu rushwa ya ngono.
#milardayoupdates.

Hata Chalamila alikuwa Lecturer wa Ruaha University kabla hajakuwa RC Mbeya. Naye amewachezea sana wanachuo kwa maksi za chupi
 
Back
Top Bottom