Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,069
- 1,958
Kumbe huyu si wa kwanzaPole yake!
Kuna jamaa mmja namjua yalimkuta naye,alafu huyo jamaa team lumumba kindakindaki
Jamaa walimuenyesha sana....kimoyomoyo nkasema Sawa sawa acha yamkute
Ova
Hiyo njia nishaacha kupitaKumbe huyu si wa kwanza
Picha ulitaka na mimi nipigwe?Wekamo na kapicha basi
Hakuna maandishi yeyote kabisa nimeshangaa aMkuu kuna maandishi yeyote hapo yanayokataza kupiga picha eneo hilo?
Kazi ya fasihi yaweza kuwa na theme 1 au zaidi. Ni kazi kwako mchambuzi kudadavuaujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupataImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Walivyomuua akwilina, uliandika haya?Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Wanalumumba tulieni badi nyieWanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi