Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Huyo binti hana adabu tu anapigaje picha msafara ikulu?
Halafu hii story yako ina chumvi nyingi sana.
Tumeshakaa sana kule ufukweni na kujisnap uelekeo wa ikulu huwa ukikamatwa ni wanachukua simu yako asipofanya factory reset utafutiwa picha zote kwa simu hayo ya kuruka kichura chura labda ukatae na kujifanya mbabe
 
Umeambiwa ni kipindi cha mwendakuzimu
 
Umeambiwa ni kipindi cha mwendakuzimu
Namimi naongelea hiko hiko kipindi
Pia kama kuna jambo linafanyika geti la nyuma maana ndio ifm na tpsc wengi huchill huko basi mnatangaziwa muondoke.
Hapa ni chuki tu na chumvi na kama huu uzi ni wa ukweli basi huyo binti alikua mbabe anashindana nao hadi kufikia kutumia nguvu
 
Tulinusurika na jamaa yangu pale Chato nyumbani kwa Magu mwaka 2018 mwanzoni. Tumeenda pale Halmashauri kwa shughuli fulani tukatoka na kupiga picha kwenye ile hoteli yake ya GS, kumbe mzee naye alikuwa likizo hupo ndani.

Mara ikatokea njemba moja imekula kaunda suti inachekacheka ikatuhoji kidogo na kubaini hatukuwa wenyeji pale (tulivunga hatujui pale ni kwa nani japo Mimi nilikuwa mwenyeji kabisa), njemba ilikuwa na ustaarabu ikasema basi futeni picha zote, mngekuwa wenyeji mngeruka kichura hadi bukoba! Tuka act kufuta picha ila hatukuzifuta tukaondoka.
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Kwanini hamkuita polisi?
 
Hawana akili hao, imagine mhalifu akiwa kituoni atafanywa nini?
 
Back
Top Bottom