Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Mpaka anafika elimu ya juu hajui wapi panastahili kupigwa picha na wapi hapastahili! Kweli ELIMU imekufa.
 
Angekuwa wa kiume ungesema jamaa wamemnyoosha, ila akiwa wa kike basi 'kadhalilishwa' pyuuuuu
 
Ikulu yetu nayo ipo karibu mno na shughuli za raia wa kawaida; pale hata ukiwa unapita upande wa ukuta wakati unakwenda ferry jamaa wanakudaka aisee utaruka kichura hadi utapike msosi wa jana yake usiku.
Hivi ukiwagomea kuruka kichura watakuua? Kuna haja ya kujitoa muhanga, unatembea japo na bisu, unahakikisha unamtweka mojawapo kwenye moyo na wewe wanakuulia mbali, hapo na wao watatia akili, oneni zakaria aliyowaadabisha
 
Mkuu ishu siyo picha ishu ni kwamba ni wwapo panazuia msafara wa rais kupigwa picha?

Mbona kina Putin huku tunawapiga picha hawajawahi kumkamata mtu?

Mambo mengine ni ujinga na ushamba
Sure bro tell her
 
Ikulu yetu nayo ipo karibu mno na shughuli za raia wa kawaida; pale hata ukiwa unapita upande wa ukuta wakati unakwenda ferry jamaa wanakudaka aisee utaruka kichura hadi utapike msosi wa jana yake usiku.
Hivi ukiwagomea kuruka kichura watakuua? Kuna haja ya kujitoa muhanga, unatembea japo na bisu, unahakikisha unamtweka mojawapo kwenye moyo na wewe wanakuulia mbali, hapo na wao watatia akili, oneni zakaria aliyowaadabisha
 
one thing we must know,sheria imewapa nafasi kubwa sana askar wetu kukandamiza raia,kisa ni wasimamizi wa sheria....ni aibu sana.unamwadhibu mtu kwa sheria au kitu asichokijua...kwanini usitumie nafasi ya kumwelimisha...??
kuna wakat huwa nafikiri,ni kheri police wa tz wakapunguziwa nguvu ya kisheria kama mgambo,maana naona mgambo wanaakili na hekima kuliko hata hao askar wenyewe...
 
Majuzi nilipita viwanja vya parade na kujipumzisha kivulini pale nyuma ya nyumba nyeupe nikatelemka na baharini fresh tu nikasepa na lami Hadi feri ila pametulia Kila mtu Ana mishe zake
Mkuu ilikuwa muda gani??
 
Nimalizie kwa kusema kitendo cha kumpiga na kumrusha kichura ni kumdhalilisha huyo binti na ni cha kishenzi, na wote wanaounga mkono hatua iliochuliwa na hao walinzi wakora nao awaunganisha nao, reasoning zero, hawana tofauti na mbwa koko
Ungeenda pale magogoni ukawaambie wakuelewe ukipiga kelele hapa bro ni sawa na kukojoa mtoni
 
Kweli nilitulia, nikamsikiliza, nikaomba samahani..akakoroma sana lakini nikamwambia tu mi mtu mzima nishaomba msamaha..
Mkuu hawa watu ukizijua saikolojia zao umewaweza sana na hakuna kugombana nao
 
Pole kwa binti mwanafunzi kwa yaliyomkuta..

Kwani wana matangazo ya kukataza watu kupiga picha?
Na wanaopita kwenye magari wanawakamataje?

Zile video wanazorushaga za wageni, shughuli etc na matukio kuna maeneo wanaficha hawaonyeshi au?

Wenye magari hawakamatwi labda kama gari imesimama kwa muda mrefu eneo lile...
Zile video huwa wanakuwa wamepewa ruhusa na ndio maana unawaona wanavaa vitambulisho.

Otherwise Hii komenti aliyekuandikia ameshakupa simu yako au bado anayo.?
 
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia.

Huo UjinGa wako nadhani ni zaidi (Kiwango cha Stigilazi GoJi). wewe kama mtanzania unaona sawa walinzi kumpiga mtu bila kumuuliza chochote, kama ana matatizo ya kiafya si ndio uhai wake unakuwa hatarini

nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia

Jeshi la China au hili hili la BonGo, hata hao wanajeshi hawana hio mamlaka ya kukupiga ila ni vile tu wanachukua sheria mkononi na ukienda kwenye mamlaka zao hata nao huwa wana adhibiwa vile vile..

Ili sisi tuache huo UjinGa unaosema hakikisha ww umeacha Utahira
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Sura kama za kinyaruanda zikoje??Ujumbe wako utapuuzwa sababu ya ushabiki
 
Ndio umeshauza Ng'ombe zako huko kijijini, ili umlete mwanao asome chuo kikuu dar, chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Hapo hapo ushatiliwa ngumu katika MAFAO YAKO. Uliowachagua wakakuwakilishe BUNGENI ndo hivo tena wanaleta TAARABU kulinda Ugali wao.

Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]

Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma, haki za binaadamu nao hawatataka wapitwe kutoa tamko, vyama vya upinzani nao ndio balaa.

Ni afadhali hata angepelekwa polisi kwa kosa hilo, kuliko kuchukua SHERIA MKONONI.

Au labda sheria inawapa ruhusa hio ya kupiga raia hao jamaa???? Japo sijawahi kuona sheria ya hivyo maishani.
Duh tumepita mengi
 
Back
Top Bottom