Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

TBC ni Ukweli na Uwakika unajinyima mambo mengi sana ndio maana nasema Ujielewi. Samahani sana, nafikiri tuishi ipo siku utaelewa endelea kuwa Negative kwa uliowapa dhamana.
Click hiyo button ya search hapo juu halafu andika TBC iliyoboreshwa utaona comments walizotoa wadau wengine kuhusu hiyo TBC yenu
 
Mkuu wewe siku ya kwanza kujua kuwa pale haparuhusiwi kupiga picha ulijuaje?
Ukiwa unatokea soko la Feri unapoanzia ule ukuta wa IKULU tu kuna kibao kina alama ya Video Camera na ile alama imekatwa kwa mstari, kama vile zile alama za barabarani zinavyokatwa, mf. Utakuta sehemu kuna kibao kimeandikwa herufi P kisha imekatwa kwa mstari ikimaanisha huruhusiwi kupaki gari eneo husika, na pale Ikulu zipo hizo alama, maana binafsi nakua makini ninapotembelea maeneo ambayo huwa sifiki mara kwa mara
 
Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.

Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Zero reasoning kabisa..wengi wana inferiority complex..So wanapokutana na wananchi wanajaribu kuprove wao ni Nani.
 
wanasema "ignorance of the law is not defense". Hata hivyo si vizuri kudhalilisha wavunja sheria
 
[emoji23][emoji23][emoji23]best kweli ungenicheka? Ujuwe kichura noma sana, hasa sisi tuliojiachia vijitumbo[emoji39][emoji39][emoji39]
Ningekusaidia kutembeza kichapo au hujui kuwa mimi nililearn Taikudo karate for about 5 solid years[emoji85] [emoji85] ....

On a serious note ningeumia best ake
 
Hili ndiyo tatizo la kuongozwa na miungu watu tena wanajifananisha na malaika. Watu wanaenda kuvuta bangi viwanya vya white house USA hawapigwi wala kuulizwa huku kwetu mtu anapiga piga picha nyumba na eneo linalotunzwa kwa kodi zetu anapigwa na kudhalilishwa. Ni usalama gani unahatarishwa kwa mtu/ raia/ mlipa kodi kupiga picha? Kama siyo walinzi vichaa basi ni wakora
 
Ulinzi wa kishamba wa kupiga wapita njia
 
Ukiwa unatokea soko la Feri unapoanzia ule ukuta wa IKULU tu kuna kibao kina alama ya Video Camera na ile alama imekatwa kwa mstari, kama vile zile alama za barabarani zinavyokatwa, mf. Utakuta sehemu kuna kibao kimeandikwa herufi P kisha imekatwa kwa mstari ikimaanisha huruhusiwi kupaki gari eneo husika, na pale Ikulu zipo hizo alama, maana binafsi nakua makini ninapotembelea maeneo ambayo huwa sifiki mara kwa mara
Itatuchukua muda mrefu sana watanzania kuja kuzijua na kuzidai haki zetu, kuna mambo mengi ya hovyo yako kwenye Katiba na sharia za nchi, kwa bahati mbaya watu wanashabikia hayo makosa ya Katiba, Hivi huyo mwanafunzi kupiga picha ndio alistahili kudhalilishwa ?, baadhi ya wadau wamehoji kuhusu reasoning, kwa wenzetu waliostaarabika siku nyingi hata mhalifu anapokuwa mikononi mwa polisi hairuhusiwi kumpiga, hapa kwetu watuhumiwa wanapigwa mpaka wanapoteza maisha, wapambe wa serikali wanashagilia
 
2020 twende na Membe.
Mambo yote haya yatakwisha...

Itakuwa ni mwendo wa Kazi na Bata.
Full kupiga piga mapicha green house kuanzia getini pale mbele mpaka kule nyuma usawa wa beach kule....

Hivi wale wauza karanga kutokea feri wa enzi za JK badogo wanaendaga kuwaonjesha karanga wale walinzi wa green house kama zamani??

2020 Twende na Membe.
Tutarudi kuuza karanga zetu
Ni mwendo wa kazi na bata tu.
Membe unaenda nae wp?
 
Mmh mi kuna siku nilikuwa naelekea pale Tanzania law reform sa ile naongea na simu si nikajichanganya nikajikuta naelekea mule getini kuingia ikulu...Yule askari alinifata kwa hasira sema niligundua kosa langu mapema nikamuomba msamaha ikawa pona yangu. Ila najiona nilivokuwa naelekea kupigwa mieleka ya John cena.
Hukuvaa min skirt kweli??
Maana ungebaki uchi...
 
Itatuchukua muda mrefu sana watanzania kuja kuzijua na kuzidai haki zetu, kuna mambo mengi ya hovyo yako kwenye Katiba na sharia za nchi, kwa bahati mbaya watu wanashabikia hayo makosa ya Katiba, Hivi huyo mwanafunzi kupiga picha ndio alistahili kudhalilishwa ?, baadhi ya wadau wamehoji kuhusu reasoning, kwa wenzetu waliostaarabika siku nyingi hata mhalifu anapokuwa mikononi mwa polisi hairuhusiwi kumpiga, hapa kwetu watuhumiwa wanapigwa mpaka wanapoteza maisha, wapambe wa serikali wanashagilia
Haki zipo ndani ya sheria....
soma presidential act nadhani...
hairuhusiwi kupiga picha bila ruhusa maeneo hayo...
 
Kuna Dogo alinunua Gari basi akanichukua kama kaka yake msimamizi na mshauli kwenda kigamboni kujipa pongezi, kabla ya safari tukala paaaf paaf mbili tatu.. Basi safari ikaanza, Binafsi nikawa kwenye Dimbwi la mawazo na life huyo ndugu yangu. Ukizingatia Gari mpya na yeye bado young miaka 21 ana kiwanja na kwenye Dashboard ana milion 4 usd 1700 vipi atawaepuka wanawake wa Dar na Matapeli!!?

Nashtuka na sauti yake anasema Kaka tume yakoroga kuangalia mbele naona Nembo ya Bwana na Bibi mara wajomba wa kazi hawa duuuh! Niliongea nao wakanisoma wakatuelewa tukaachiwa bila Shida hivyo nadhani huyu bwana katunga habari yake kuna namna anataka kudiliver au Kaongeza na yake kwa maana ya mlengo wake, na hii ni mbaya zaidi kuliko.
 
Utumwa wa fikra ndio umekufanya kuhukumu, yaani kwako wewe mtu akikosea njia akaingia jeshini tena hana hata silaha ya fimbo unaona sawa tu kupigwa kisa jeshini.
Kweli mtumwa lazima awe muafrika.
Tungekuelewa kama ungesema sheria inatoa adhabu ipi kwa mtu anayepiga picha sehemu isiyoruhusiwa kama Ikulu....I think that is a valid qn....but ni kosa kupiga picha ikulu bila ruhusa.... ignorance of the law has no deffence.... always
 
Itatuchukua muda mrefu sana watanzania kuja kuzijua na kuzidai haki zetu, kuna mambo mengi ya hovyo yako kwenye Katiba na sharia za nchi, kwa bahati mbaya watu wanashabikia hayo makosa ya Katiba, Hivi huyo mwanafunzi kupiga picha ndio alistahili kudhalilishwa ?, baadhi ya wadau wamehoji kuhusu reasoning, kwa wenzetu waliostaarabika siku nyingi hata mhalifu anapokuwa mikononi mwa polisi hairuhusiwi kumpiga, hapa kwetu watuhumiwa wanapigwa mpaka wanapoteza maisha, wapambe wa serikali wanashagilia
Mkuu, hapo sijagusia kuhusu swala la huyo binti kuadhibiwa, hapo nimetoa maelekezo zilipo hizo alama zinazokataza kupiga picha, kuhusu suala la huyo binti nawaachia Raia
 
Back
Top Bottom