HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,887
Hicho ulicho quote kuna sehemu nimeandika kupiga picha Ikulu au umekosea kuni quote? Nimezungumza kuhusu kupita njia ya jeshini kwa makosa na kwenda kupigwa.Tungekuelewa kama ungesema sheria inatoa adhabu ipi kwa mtu anayepiga picha sehemu isiyoruhusiwa kama Ikulu....I think that is a valid qn....but ni kosa kupiga picha ikulu bila ruhusa.... ignorance of the law has no deffence.... always
Na kwako wewe kuna sheria inayoruhusu kupiga mtu aliyekosea na akatii sheria bila shuruti?
Soma tena uelewe, hakuna aliyesema watu wakivunja sheria wasihukumiwe kwa mujibu wa sheria, bali kinachopingwa ni vitendo vya kihuni na vya kikoloni vya kupiga watu.
Tatizo ni utumwa wa kufikiri kila kitu ni sawa kisa aliyekufanyia ana mamlaka fulani.
Narudia tena...mtumwa ni muafrika.