Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .......sipatiii picha huo msamaha best, natamani ningekuwepo haaahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]best kweli ungenicheka? Ujuwe kichura noma sana, hasa sisi tuliojiachia vijitumbo[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Bila kaphoto tutakuaminije???
 
Tatizo ni kupiga picha karibu na watu wenye sura kama za watu wa kanchi jirani,

Wana roho mbaya sana, katika kazi zangu maalumu niko nao katika mission mbali mbali,

Hawafai na reasoning capacity yao ni zero
hahaha
 
Wajeda wengi ni failures, samahani tu kwao lakini hawana reasoning wale watu.

Nilikamatwa pia 2012 upande wa ufukweni, ilikuwa kama saa 12 jioni hivi. Kidogo nidhalilishwe, niliobahatika tu kukutana na mjeda anajitambua.
Hebu tofautisheni kati ya Tiss na Jw

Mbona mnawaonea sana jw
 
Ndio umeshauza Ng'ombe zako huko kijijini, ili umlete mwanao asome chuo kikuu dar, chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Hapo hapo ushatiliwa ngumu katika MAFAO YAKO. Uliowachagua wakakuwakilishe BUNGENI ndo hivo tena wanaleta TAARABU kulinda Ugali wao.

Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]

Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma, haki za binaadamu nao hawatataka wapitwe kutoa tamko, vyama vya upinzani nao ndio balaa.

Ni afadhali hata angepelekwa polisi kwa kosa hilo, kuliko kuchukua SHERIA MKONONI.

Au labda sheria inawapa ruhusa hio ya kupiga raia hao jamaa???? Japo sijawahi kuona sheria ya hivyo maishani.
Enzi za mwalimu njia ile ya mbele Magogoni ilikuwa wazi tulikuwa tupita bila tabu hata picha unapiga lakini raisi wa wanyonge njia imefungwa na kitendo kama hicho kwa binti huyo hakifai kbs ilitakiwa kuelimishwa kama si ruhusa kuchungulia nyumba ya mkubwa
 
Dhamana tumeipa wenyewe kwanini tuwe na Uoga? Binafsi naomba tuwe na Ueledi, Serikali yetu ni Serikali inayoitaji Pongezi nyingi, leo Simu yako inakupa mkopo na yote kwasababu Uchumi kuwa Imara, unapata muda wa ku coment na n.k Binafsi naomba tufanye kazi tuwe wabunifu na tupunguze matumizi tusiwe Negative au kupaka serikali matope.
Tatizo lenu mmekaririshwa na watawalla kwamba kila aneongea Kinyume na mapenzi ya watawala ni Mchochezi, mtakuja kulipa hii dhambi mnayoichuma, Tupongeze serikali kwa lipi la maana ililofanya ?, hii ni sawa na Baba anapoleta dagaa nyumbani halafu anataka watoto wampongeze na kumshangilia, kumbuka watu wanamiliki simu kutokana na juhudi zao na sio msaada wa serikali, ieleweke kwamba kusema madudu ya serikli sio kuipaka matope, kama ni matope tayari serikali imejipaka yenyewe mnachofanya ni kujaribu kuisafisha na dodoki, hakuna maendeleo ya kweli pasipo na demokrasia na Uhuru na Haki za binadamu.
 
Enzi za mwalimu njia ile ya mbele Magogoni ilikuwa wazi tulikuwa tupita bila tabu hata picha unapiga lakini raisi wa wanyonge njia imefungwa na kitendo kama hicho kwa binti huyo hakifai kbs ilitakiwa kuelimishwa kama si ruhusa kuchungulia nyumba ya mkubwa
Asante Gedeli
 
Hujielewi wala uelewi chochote hivyo nakushauli nenda, penda kujua sheria na utaratibu wa Nchi yako. Sikiliza TBC sio mwanzo mwisho Ant life.
 
Hivi humo ikulu huwa kuna nini cha mno sana tofauti na ikulu za marais wenye nguvu duniani kama IKULU YA MAREKANI?
 
Hujielewi wala uelewi chochote hivyo nakushauli nenda, penda kujua sheria na utaratibu wa Nchi yako. Sikiliza TBC sio mwanzo mwisho Ant life.
TBC ni channel ya mimi kusikiliza ?, muda huo nautoa wapi ?, yaani ni sawa na kutoa hela yangu kununu gazeti a Uhuru, Aliyekudanganya kwamba mimi sijielewi ni bora ungempima akili, kama ni wewe nakupa pole
 
Enzi za mwalimu njia ile ya mbele Magogoni ilikuwa wazi tulikuwa tupita bila tabu hata picha unapiga lakini raisi wa wanyonge njia imefungwa na kitendo kama hicho kwa binti huyo hakifai kbs ilitakiwa kuelimishwa kama si ruhusa kuchungulia nyumba ya mkubwa
White House USA watu full kupiga SELFIE na hua wanaandamana bila vikwazo, na wengine huandamana bila nguo kabisa kupinga mambo waiokubaliana nayo.[emoji18] [emoji53]
 
TBC ni channel ya mimi kusikiliza ?, muda huo nautoa wapi ?, yaani ni sawa na kutoa hela yangu kununu gazeti a Uhuru, Aliyekudanganya kwamba mimi sijielewi ni bora ungempima akili, kama ni wewe nakupa pole
TBC ni Ukweli na Uwakika unajinyima mambo mengi sana ndio maana nasema Ujielewi. Samahani sana, nafikiri tuishi ipo siku utaelewa endelea kuwa Negative kwa uliowapa dhamana.
 
Simba SC imeiangushia dozi nene ya kipigo cha mabao 4-0 timu ya Mbabane Swallows ya eSwatin katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa kwenye Dimba la Mavuso nchini humo!

ANGALIAAA SKILIZ HAPA HADI RAHAAAAA

Hivi hili la walinzi wa kinyarwanda ni jambo la kweli??
 
Hivi hili la walinzi wa kinyarwanda ni jambo la kweli??
Watu waliowaona kwa macho hao walinzi wameshaleta taarifa hapa JF kwambawale sio rai wa Tz ni wanyarwanda kwani hauhitaji elimu ya chuo kikuu kuwatambua, sasa bahati mbaya sana lkisemwa jambo hili wanakuja hapa wapambe wa serikali kudai ehuo ni uchochezi
 
Back
Top Bottom