Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Eti wenye sura kama wanyarwandwa mbona nilikuwepo sijaona hao wanyarwanda au yale ma tinted ndo yamekushtua[emoji23][emoji23]
 
We bwabwaja kuna mwenzako alichezea hpo
Anakula kibano anabakia ksema mm chichiem mm chichiem

Ova
Kuwa CCM haimaanishi kuwa ukikosea usiadhibiwe; kutii sheria ni kwa kila mtu
 
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
Utumwa wa fikra ndio umekufanya kuhukumu, yaani kwako wewe mtu akikosea njia akaingia jeshini tena hana hata silaha ya fimbo unaona sawa tu kupigwa kisa jeshini.
Kweli mtumwa lazima awe muafrika.
 
Pole kwa binti mwanafunzi kwa yaliyomkuta..

Kwani wana matangazo ya kukataza watu kupiga picha?
Na wanaopita kwenye magari wanawakamataje?

Zile video wanazorushaga za wageni, shughuli etc na matukio kuna maeneo wanaficha hawaonyeshi au?

Nakumbuka kuna wageni waliofika wa juu juu walirekodiwa sana..
 
Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.

Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Wajeda wengi ni failures, samahani tu kwao lakini hawana reasoning wale watu.

Nilikamatwa pia 2012 upande wa ufukweni, ilikuwa kama saa 12 jioni hivi. Kidogo nidhalilishwe, niliobahatika tu kukutana na mjeda anajitambua.
 
ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Kipara, utawalaza njaa wategemezi wako Mkuu, haya maswala yako ya kuchanganya ID then unakuja kulialia simu ametumia mtu mwingine yametuchoshaaa.
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Hawa dawa yao inachemka.Nasubiria mzigo wa Anthrax tu ndi utawashikisha adabu na huo unyarwanda wao.Ikulu yetu halafu tusipige picha.Wakamlinde Pahulo
 
Ndio umeshauza Ng'ombe zako huko kijijini, ili umlete mwanao asome chuo kikuu dar, chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Hapo hapo ushatiliwa ngumu katika MAFAO YAKO. Uliowachagua wakakuwakilishe BUNGENI ndo hivo tena wanaleta TAARABU kulinda Ugali wao.

Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]

Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma, haki za binaadamu nao hawatataka wapitwe kutoa tamko, vyama vya upinzani nao ndio balaa.

Ni afadhali hata angepelekwa polisi kwa kosa hilo, kuliko kuchukua SHERIA MKONONI.

Au labda sheria inawapa ruhusa hio ya kupiga raia hao jamaa???? Japo sijawahi kuona sheria ya hivyo maishani.
Unatuambiaje sasa mkamtoe mbowe kwanza mengine yafate
 
Pole kwa binti mwanafunzi kwa yaliyomkuta..

Kwani wana matangazo ya kukataza watu kupiga picha?
Na wanaopita kwenye magari wanawakamataje?

Zile video wanazorushaga za wageni, shughuli etc na matukio kuna maeneo wanaficha hawaonyeshi au?

Nakumbuka kuna wageni waliofika wa juu juu walirekodiwa sana..
Walahi siamini kama niwewe ndio umeandika hivi !!!

Siamini mpk kuja masihi !!
 
Pole kwa binti mwanafunzi kwa yaliyomkuta..

Kwani wana matangazo ya kukataza watu kupiga picha?
Na wanaopita kwenye magari wanawakamataje?

Zile video wanazorushaga za wageni, shughuli etc na matukio kuna maeneo wanaficha hawaonyeshi au?

Nakumbuka kuna wageni waliofika wa juu juu walirekodiwa sana..
Nenda kesho kapige picha
Ila Vaa shati na kapelo hpa kZ t-

Ova
 
Back
Top Bottom