Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
Mkuu ishu siyo picha ishu ni kwamba ni wwapo panazuia msafara wa rais kupigwa picha?

Mbona kina Putin huku tunawapiga picha hawajawahi kumkamata mtu?

Mambo mengine ni ujinga na ushamba
 
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
White house tu marekan watu wanajiself nje sembuse uku bara la giza uzwazwa tu na ushamba
 
Nakumbuka kuna mama mmoja alishuka kwenye kona ya kwenda ferry sababu alikuwa anaogopa purukushani za kituon asingeweza kushuka, akakutana na wale jamaa alitembezwa kibatabata. Hadi nilidhani wale wanajeshi ni robots yaani wamekuwa coded kwa brutal tu hawasikilizi mtu
 
Ikulu yetu nayo ipo karibu mno na shughuli za raia wa kawaida; pale hata ukiwa unapita upande wa ukuta wakati unakwenda ferry jamaa wanakudaka aisee utaruka kichura hadi utapike msosi wa jana yake usiku.
 
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
Watu wa aina yako ndio tatizo la nchi hii, yaani unaona uvunjifu wa haki za Mtanzania unaona ni sawa kabisa. Hata kama kafanya kosa apewe adhabu stahili, sio kurushwa kichura.
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
We hukuchukua hata kavideo ukaweke humu
 
2020 twende na Membe.
Mambo yote haya yatakwisha...

Itakuwa ni mwendo wa Kazi na Bata.
Full kupiga piga mapicha green house kuanzia getini pale mbele mpaka kule nyuma usawa wa beach kule....

Hivi wale wauza karanga kutokea feri wa enzi za JK badogo wanaendaga kuwaonjesha karanga wale walinzi wa green house kama zamani??

2020 Twende na Membe.
Tutarudi kuuza karanga zetu
Ni mwendo wa kazi na bata tu.
 
Sasa chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]

Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma.
Siyo lazima awe mwanao. Binadamu yoyote kupigwa kwa jambo la kijinga kama hilo mtu yoyote mwenye ubinadamu lazima unaumia. Haipaswi binadamu tuishi kama wanyama. Kama wameona ana kosa kona hatua za kuchukua na siyo kumpiga. Kama walinzi wanaotakiwa kuwa na displine kama wa Ikulu wanafanya ushenzi wa aina hiyo mgambo wa vijijini watafanyaje?
 
Maeneo mengi ya Serikali Picha haziruhusiwi labda kwa kibali maalum sembuse Ikulu, kajitakia tu
 
Ndio umeshauza Ng'ombe zako huko kijijini, ili umlete mwanao asome chuo kikuu dar, chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]

Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma, haki za binaadamu nao hawatataka wapitwe kutoa tamko, vyama vya upinzani nao ndio balaa.
Vyou vikuu vya wapi viandamane? Hapahapa bongo daslam? Thubutu
 
ndo tatizo ya watu wa mapicha picha unapiga unanyakuliwa unaumizwa inakuwa mfano na elimu kwa wengine sasa mimi hapo nishajifunza kuwa pale picha ni NO
 
Back
Top Bottom