Hapo pameandikwa USIPIGE PICHA, na ikulu sio Kariakoo,najua kuna watu watakuja na mipovu oh mbona White House kwa Trump watu wanapiga picha wakiwa mbali nje,sheria za Marekani na Tanzania zipo tofauti,tuache kutoa mipovu kwa sababu zisizo na maana,na swali la mwisho umejuaje kama huyo ni mwananfunzi wa IFM na anatoka mkoani ama wanafunzi wa IFM siku hizi wanavaa uniform na beji kuwaonyesha kuwa wanasoma hapo na wanatoka mikoani?Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Twende mara ngapi mjombaNenda marekani
Twende mara ngapi mjomba![]()
kesho tukutane pale getini ili ukayathibitishe haya maneno yako!Unajifanya hujui kama Wanya Rwanda ndo Wanao mlinda Mnya Rwanda Mwenzao
Sasa atareasoning kitu gani mtu wa std seven na form 4 failure..katupwa hapo getini waliosoma wanakula kiyoyozi ndani huko.Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Musundi!!Kazi ya fasihi yaweza kuwa na theme 1 au zaidi. Ni kazi kwako mchambuzi kudadavua
Umemfuatilia baada ya kudhalilishwa vile bado ni kindakindaki kijani?Pole yake!
Kuna jamaa mmja namjua yalimkuta naye,alafu huyo jamaa team lumumba kindakindaki
Jamaa walimuenyesha sana....kimoyomoyo nkasema Sawa sawa acha yamkute
Ova
Hahaha!! Elitwege umewakomalia machadema balaa.Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Alikuwa anataka kuwapostia wanaume wa Dar.Maskini pole yake madada wa mkoani nao
Naona ushathibitisha uhamisho wakoMwambie ikulu yenyewe inanuka harufu ya pale feri, kama walitaka ilibidi waamishie kwingine
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,