Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Nilipochukia zaidi ni hapo ulipoandika kuna wanyarwanda wanalinda pale ikulu aiseee huyu jamaa hivi anawaza nini jamani kuweka mijitu yenye roho za mauaji kwenye ikulu yetu takatifu

Kwakweli hatufai asepe tu
 
Mbona white house unaingia kabisa
kuna tofauti nyng kat ya bongo white house na orgnal white house.
Yetu iko karib na shughuli za kila siku za binadamu, yao imetengwa sana.
Eneo letu lao la ulinzi ni dogo sana, wenzetu ni kubwa.
Mfumo wetu wa ulinzi wa siri ni duni wakati wenzetu ndo unaoongoza duniani kwa vifaa vya kisasa.
Mfumo wa majeshi yetu tulifufundishwa na wao, wakatufunza ukatili wakati wao hawafanyi hivo.
Elimu ya uraia kwetu ni ndogo sana wakati wenzetu ni kubwa sana. (shida yetu ni tabia ya kutojituma kujifunza mambo ya mazingira tofauti ili kupanua uelewa wa mazingira na maisha ya wengine). Suala la kupiga picha ikulu zote duniani lipo. Hata huko USA kuna eneo maalum kupiga picha na kwa wakati maalum tu ambapo mifumo ya ulinzi huruhusu picha zipigwe. Kinyume na hapo utaingia matatani au hupati picha.
Kwanini wenzetu huchelea kumdhuru mhalifu yeyote? Lengo ni kupata taarifa zaidi juu yake na malengo yake pamoja na washirika wake. Wanapoona ni vigumu kumpatahuua kama bongo tu. Aliyejaribu kupanda ukuta white house kilimkuta nini kama tunakumbuka?
Tuache kejeli na kujidhalilisha wenyewe eti hatuna akili. Mpiga picha ndo hana akili. Aliwahi ona nani anapiga picha hapo? Kwanini asijifunze hata kwa kuuliza tu kama anaweza fanya au la?
Askari hufanya ukatili huo kwa sababu kadhaa. Huenda mtuhumiwa atatoa taarifa zaidi, kutoa onyo kwa wengine wanaoshuhudia tukio hilo wakasimuliane na hata hizo stress zao pia zaweza kuwa sababu.
Jambo la maana hapa kujifunza kabla ya kutenda. Itatusaidia kuepukana na ugomvi huu.
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Angewekwa Segerea kabisa Ikulu n mahali patakatifu sio pakuchezea photo
 
Tangu lini mlinzi tena muafrika akatumia hata akili robo tu aliyopewa na Mungu?
Hakuna watu wapuuzi kama watu wanaoitwa walinzi wa maeneo nyeti, yaani watu weusi.
Ukiwaza ugumu uko wapi kumuonya tu kwa maneno? Halafu huu ukatili anauendekeza huyu Malaika.
Bado walipoibwa kuku ikulu tulihoji uwezo wa ulinzi ikulu. Wanajitahidi kuimarisha ulinzi tunaita makatili. Wema uko wapi? Kila siku mlinzi akasimame mahakamni kumshitaki mpiga picha! Wakati mko mahakamani, picha zishatumika na kuleta madhara.
 
Ikulu yetu nayo ipo karibu mno na shughuli za raia wa kawaida; pale hata ukiwa unapita upande wa ukuta wakati unakwenda ferry jamaa wanakudaka aisee utaruka kichura hadi utapike msosi wa jana yake usiku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2020 twende na Membe.
Mambo yote haya yatakwisha...

Itakuwa ni mwendo wa Kazi na Bata.
Full kupiga piga mapicha green house kuanzia getini pale mbele mpaka kule nyuma usawa wa beach kule....

Hivi wale wauza karanga kutokea feri wa enzi za JK badogo wanaendaga kuwaonjesha karanga wale walinzi wa green house kama zamani??

2020 Twende na Membe.
Tutarudi kuuza karanga zetu
Ni mwendo wa kazi na bata tu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Ulimbukeni tu.
Mkuu ishu siyo picha ishu ni kwamba ni wwapo panazuia msafara wa rais kupigwa picha?

Mbona kina Putin huku tunawapiga picha hawajawahi kumkamata mtu?

Mambo mengine ni ujinga na ushamba
 
ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Unaendeleaje? Umetoka ICU? Hakikisha hawachukui simu yako.

By the way No. 10 mtu unapiga picha kwa raha zako, White house tunapiga kwa raha zetu sasa hii ikulu iliyojengwa na Mjerumani na siyo sisi inatupa kiwewe? Maskini akipata, matako hulia mbwata.
 
Eti sura zs kinyarwanda, yani nyumbu bhana.
 
Nilipochukia zaidi ni hapo ulipoandika kuna wanyarwanda wanalinda pale ikulu aiseee huyu jamaa hivi anawaza nini jamani kuweka mijitu yenye roho za mauaji kwenye ikulu yetu takatifu

Kwakweli hatufai asepe tu
Unahakika kweli ni Wanyarwanda?
 
Ushamba na ulimbukeni.
Marekani wananchi wanaweza kuwenda kutembelea ikulu yao kama utalii na picha wanapiga.
Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
 
Hayo maeneo nayafahamu vizuli haswa hii njia ya kutokea ocean road kuelekea ferry wapo karibu na ofisi ya waziri mkuu hawa jamaa huwa wanakaaga kwenye vibanda flani kwa ndani wengine wako njee hivyo unavyopita wanakuona kuanzia unapotoka na unapokwenda na unachokifanya wanakuona.

Hii njia mwisho saa kumi na mbili watu tukipita hioo njia huwa tupo faster
 
Mkuu kuna maandishi yeyote hapo yanayokataza kupiga picha eneo hilo?
Nimewahi kupita lile eneo mara moja kuna mojawapo kati ya hizi alama mbili.

Alichofanyiwa binti siyo sawa...

Lakini tujifunze pia kufuata sheria
images%20(6).jpeg
 
Hakuna maandishi yeyote kabisa nimeshangaa a
Kuna alama kama hii inayokataza kupiga picha. I'm sure 100%

Kuna maeneo wanakataza kupiga picha kwa sababu za kiusalama, ikulu, bunge, kambi za jeshi n.k.
 
wanajeshi ktk shughuli zao wapige picha alafu wakikukataza waambie mbona hamkuandika marufuku kupiga picha?
Mada inasema huyo binti kawapiga picha hao wanajeshi au kapiga picha maeneo ya ikulu?
 
USA Mbali! Waambie hapo tu kwa Kaburu, Watu wanaenda evening walks Ikulu na mapicha kibao yanapigwa!
White house tu marekan watu wanajiself nje sembuse uku bara la giza uzwazwa tu na ushamba
 
Back
Top Bottom