Africa tuna shida nyingi..viongozi wetu ni Miungu watu, Mfano USA raia wake wanapewa fursa ya kutembelea ikulu yao (white house) hata raia wa kigeni..kuna bustani maalam ambapo raia wanaruhusiwa kutembelea ikulu, ila kwetu Tanzania,ukishamchagua rais wako,ni taboo (mwiko) kupita hata karibu na ukuta wa ikuluUnafikiri kwanini Wanatuita manyani ya dark continent....!??
HahahahahPole yake!
Kuna jamaa mmja namjua yalimkuta naye,alafu huyo jamaa team lumumba kindakindaki
Jamaa walimuenyesha sana....kimoyomoyo nkasema Sawa sawa acha yamkute
Ova
Roho za kichadema kivipi? Chadema ndo wapo madarakani?Wanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Hats hao waliokupa like hapa nawashangaa pia!Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
Walahi siamini kama niwewe ndio umeandika hivi !!!
Siamini mpk kuja masihi !!
Nenda kesho kapige picha
Ila Vaa shati na kapelo hpa kZ t-
Ova
Ndio umeshauza Ng'ombe zako huko kijijini, ili umlete mwanao asome chuo kikuu dar, chukulia ndio MWANAO huyo kafanyiwa hivyo, akitoka hapo unajikuta inabidi upitishe MCHANGO ili umpeleke hospitali akatibiwe. Hapo hapo ushatiliwa ngumu katika MAFAO YAKO. Uliowachagua wakakuwakilishe BUNGENI ndo hivo tena wanaleta TAARABU kulinda Ugali wao.
Inasikitisha sana, mungu amsaidie[emoji17]
Mara Paap, binti wa watu ndio inatokea anarudisha namba kwa "Sir. God". Kesho magazeti dunia nzima lazima yaandike hio habari, vyuo vikuu mara utaskia wanafunzi wana andamana na kugoma, haki za binaadamu nao hawatataka wapitwe kutoa tamko, vyama vya upinzani nao ndio balaa.
Ni afadhali hata angepelekwa polisi kwa kosa hilo, kuliko kuchukua SHERIA MKONONI.
Au labda sheria inawapa ruhusa hio ya kupiga raia hao jamaa???? Japo sijawahi kuona sheria ya hivyo maishani.
Hakuna sheria ya inayomruhusi Askari kumpiga raia ikiwa hajanisha lolote.Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Nchi hii ujinga kila mahali
Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu
ujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Wameandika au kuweka tangazo pale...kwamba mtu asipige picha.??Maeneo mengi ya Serikali Picha haziruhusiwi labda kwa kibali maalum sembuse Ikulu, kajitakia tu
Angeruhusu bavicha wawe wanakunywa viroba hapo getini eeh. Maana ndio wanataka staili za namna hiyo.Membe asingeruhusu upuuzi kama huu
Haaa pale pameandikwa huruhusiwi lupita pichai sasa hawa wasomi wetu huwa hawasomi mabangoujumbe ni kudhalilishwa mwanafunzi au unataka kutujulisha kuwa kuna askari wa rwanda!
Apo haparusiwi kupiga picha hata eneo la maji kuanzia soko la samaki na ukipita hakuna kusimama
Eneo lile limeongezewa ulinzi tofauti na tulivyozoea tatizo sisi wabongo wagumu kupokea na kuelewa vitu vipya