Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

Siyo lazima awe mwanao. Binadamu yoyote kupigwa kwa jambo la kijinga kama hilo mtu yoyote mwenye ubinadamu lazima unaumia. Haipaswi binadamu tuishi kama wanyama. Kama wameona ana kosa kona hatua za kuchukua na siyo kumpiga. Kama walinzi wanaotakiwa kuwa na displine kama wa Ikulu wanafanya ushenzi wa aina hiyo mgambo wa vijijini watafanyaje?
Tatizo askari wetu wengi hasa wa kiafrika wanaamini sana katika nguvu kuliko katika matumizi sahihi ya akili Na utu wa kibinadamu
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Unapo fikisha jambo mkuu usifikishe na uchochozi binafsi ilikua ni kumuonya tu asirudie kosa alo Fanya Na kufuta zile picha ila kuhusu sura za kinyarwanda acha uchochezi mkuu jeshi letu ni imara
 
Mtu katoka kigoma hukoo mbaali Kasulu...anataka kumuonesha Mama na Baba yake picha kwamba sasa niko mjini kabisaa Chuo...na Magu yuko humu ndani..

Mnamvamia..!??

Wanyamurengeehh
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Wanyamulenge hawanaga huruma kwa watanzania, wao wamekuja kuangalia usalama wa ndugu yao tu
 
Mwanamke ni chombo cha kuheshimiwa sana,hata sheria ya nchi imemlinda sana mwanamke.Hivyo wana usalama wetu wamefanya kosa kubwa sana kumpiga,kumvuta nywele na kumrusha kichura huyo dada.
 
Wacha nibebe box tu wacha wazungu wanibague tu kuliko kuishi na kufanyiwa ushenzi nyumbani kwetu uku tunapiga picha popote aina shida na hata km umekosea utaelezwa ufute tu hv watu weusi tuna nn kwenye vichwa vyetu...
 
kila taifa lna utaratbu wake ukiona USA cjui kwa kaburu utaratbu mzur kaishi huko hatuwez ruhus kupga picha ety usa wanapga ulimbuken huo
 
Mnakataza kwa nn ? Kumpiga mtu ndio dawa kwa nn asipewe tu Elimu tatizo nchi hiyo kila kitu nguvu tu Binadam tujifunze kuheshim serikali lkn serikali lazima lazima ijue haki zetu sio kutuswaga km wanyama tu...
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Kwani sheria inasemaje,si inakataza kufanya hivyo?Niseme kwamba walinzi wa Ikulu walikuwa kwenye harakati zao za kawaida za kutekeleza majukumu yao,kwa hiyo hawastahili kushutumiwa kabisa.Ifike mahali Watanzania tuheshimu sheria za nchi.Hawa walikuwa wanatekeleza sheria za nchi.Walinzi wa Ikulu wangejuaje kwamba huyo binti sio adui wa Taifa?Mtu yeyote anaweza kutumika kuidhuru nchi yetu pamoja na yeye,kwa hiyo ni lazima walinzi wawe makini,hasa wakati huu ambapo mabeberu wamekazana kupaza sauti zao dhidi ya nchi yetu.Tukumbuke kwamba anayofanya Rais ni mwiba kwa mabeberu,mafisadi na wachumia tumbo wengine wote,kwa hiyo there is every likelyhood that they will try to sabotage us..
 
Ndyo ujue kuwa hii nchi inawenyewe.

Na hakuna kitu kma usalama wa taifa. Sasa hiv ni usalama wa Magufuli na bashite bac. Wengine kafieni mbele uko
 
Inawezekana alikuwa anataka aweke insta na ka caption "niko kwa kwa mzee Magu". Inawezekana aliambiwa akabisha, maana wasomi kwa kubisha wanaongoza. Hasa hivi vijamaa vinavyosoma sheria vinaona kila kitu duniani kinawezekana na ni haki yao
 
Mbona hizi habari za watu kupigwa maeneo haya hatukuziskia awamu ya kikwete?
 
Majuzi nilipita viwanja vya parade na kujipumzisha kivulini pale nyuma ya nyumba nyeupe nikatelemka na baharini fresh tu nikasepa na lami Hadi feri ila pametulia Kila mtu Ana mishe zake
 
Sehemu yyte unapoona kuna magwanda ya jeshi kwa wingi sio pa kuchezea hata kidogo hao jamaa ni binadam wakiwa uraian tu
 
Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,

Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum

Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,

Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,

Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha

Kasinja
Ila taatifa yako ina chumvi nyingi mno.
1. Tayari ushajua ni wanyarwanda. Muda mfupi tu umejua hilo. Inakuwaje ikulu yetu ilindwe na komandoo wa rwanda. Mtu akiwa mwembamba tu huyo tayari mnyarwanda?
2. Mwanafunzi wa IFM. Je wewe pia unasoma IFM unamfahamu?
3. Mwaka wa kwanza mshambamshamba. Wewe jamaa utakuwa unaandika mambo ya hisia zaidi. Ulijuaje kuwa yupo mwaka wa kwanza.

Kwa haraharaka hii taarifa umeiweka kimlengo wa siasa za Ufipa.
 
Back
Top Bottom