kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Hata nyumbani kwako kuna UTARATIBU, Eneo la Ikulu ni mwiko kupiga ONI au KUPIGA PICHA na kadhia za hovyo kama hizo za huyo Binti, na sio IKULU hata maeneo ya JESHINI.
Pale kuna Alama kabisa na Vibao vinavyo toa taadhali, cha kushangaa binti msomi kabisa mwenye uelewa wake hajaviona!!! Inabidi huyo binti akaangaliwe mpaka chuoni kwake maana nazani ana zaidi ya Masomo.
Maafande wanafanya kazi ya kulinda na hawajua Adui anakuja kwa rangi ipi so anastahili alichopata.
kitu ulichofanya ni UCHOCHEZI kwa sababu umeta UCHOCHEZI bila kujua na kufanya tathimini hivyo unaleta CHUKI bila sababu hivyo hata wewe unatakiwa uchukuliwe Hatua.