Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point yangu ni kwamba ma CCM yamevuruga mfumo wa elimu nchini, hakuna walimu wa kutosha kuwezesha kila mwanafunzi kupata support ya kutosha kutoka kwa walimu.
habari hii inaonyesha madhara ya mfumo mbovu wa elimu sio tu yanasababisha kuwa na Taifa la wajinga bali vifo kwa wanafunzi pia?
Sophia na Mwalimu wa somo husika nao wakamatwe.
Sophia na Mwalimu wa somo husika nao wakamatwe.
Ccm wanahusika akamatwe katibu mkuu..
MFANO WA UANDISHI WA UKAJANJA
mwenye umri umri wa miaka 12 (jina lake linahifadhiwa kutokana na umri wake),
alafu
marehemu alikuwa amengangania daftari alilokuwa ameazimwa na Sophia Mathew kwa ajili ya kuandika notes kitendo ambacho kilimkera mwenzake na kuzua ugomv
Labda kwa sababu ya matakwa ya sheria ila hii sio kesi ni bahati mbaya kwani hawakuwa wanapigana bali kunyanganyana daftari. Aliyeua anatakiwa tu ahamishwe apelekwe mkoa mwingine la sivyo atakuwa haunted maisha yake yote na hilo tukio . Hii ni bahati mbaya tu jamani. Ila nawapa pole waazi wa pande zote.