DOKEZO Responded Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Makongoro - Bunda Vijijini amefariki yadaiwa ni baada ya kuchapwa na Walimu 30

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

MrEwkOG

New Member
Joined
Jul 8, 2026
Posts
1
Reaction score
3
Haya sasa ... Kwa Wassira huko Mkuu namba 2 wa CCM!!! Msaada hapo ni nyinyi mnaotangaza hapo kusakwa na Polisi-CCM na kufunguliwa mashitaka ya Uchochezi/ Kuzua taharuki au kutekwa....!!!Sisi Polisi watiifu kwa CCM tukaendelea na mchakato wa kuipima video hii kwenye maabara yetu kuu hapa ..tulipopima kile Kideo Clip Cha Uhaini wa Lissu .
 
Mpwayungu Village, tafadhali baki huko huko! Usilete pua yako kwenye huu uzi. Wewe hujawahi kuwa mfariji wa walimu hata pale wanapofanya vizuri.

Halafu walimu acheni stress basi! Shida ni nini? Kama mtoto ameshindikana si mumuache? Ni mwalimu gani wa serikali aliwahi kufukuzwa kazi kwa kumfelisha mwanafunzi, ukiondoa mikwara mbuzi ya hapa na pale kutoka ofisi za Elimu?

Ona sasa mnaingia kwenye matatizo kwa sababu ya kujiona nyinyi ndiyo warekebisha tabia namba moja za watoto nchini!
 
Umewapa ushauri mzuri sana lakini kwakuwa hawa wana stress zilizopitiliza hawawezi kuelewa hadi damu ziwatoke puani kama kenge.
 
Hiyo ni manslaughter.

Hao waalimu wapumbavu wanastahili kifungo.

Mtaani kuna vijana wanahitaji ajira.

Serikali iwaajiri tu wengine hao wapewe haki yao.
 
Walimu 30 wanamchapa mwanafunzi mmoja? Serikali ikipiga marufuku kuchapa wanafunzi bado tunalaumu,kuna walimu hawako vizuri kichwani.
 
Mpwayungu Village, tafadhali baki huko huko! Usilete pua yako kwenye huu uzi. Wewe hujawahi kuwa mfariji wa walimu hata pale wanapofanya vizuri.

Halafu walimu acheni stress basi! Shida ni nini? Kama mtoto ameshindikana si mumuache? Ni mwalimu gani wa serikali aliwahi kufukuzwa kazi kwa kumfelisha mwanafunzi, ukiondoa mikwara mbuzi ya hapa na pale kutoka ofisi za Elimu?

Ona sasa mnaingia kwenye matatizo kwa sababu ya kujiona nyinyi ndiyo warekebisha tabia namba moja za watoto nchini!
Hapo suala bila shaka siyo ufaulu
 
Kuna Waalimu ni Makatili hatari.

SHule niliyosoma kuna wanafunzi walikuwa wanachapwa fimbo hadi 50.
Na ilikuwa inajulikana ni kiti cha kawaida.
 
Back
Top Bottom