Umewapa ushauri mzuri sana lakini kwakuwa hawa wana stress zilizopitiliza hawawezi kuelewa hadi damu ziwatoke puani kama kenge.Mpwayungu Village, tafadhali baki huko huko! Usilete pua yako kwenye huu uzi. Wewe hujawahi kuwa mfariji wa walimu hata pale wanapofanya vizuri.
Halafu walimu acheni stress basi! Shida ni nini? Kama mtoto ameshindikana si mumuache? Ni mwalimu gani wa serikali aliwahi kufukuzwa kazi kwa kumfelisha mwanafunzi, ukiondoa mikwara mbuzi ya hapa na pale kutoka ofisi za Elimu?
Ona sasa mnaingia kwenye matatizo kwa sababu ya kujiona nyinyi ndiyo warekebisha tabia namba moja za watoto nchini!
Hapo suala bila shaka siyo ufauluMpwayungu Village, tafadhali baki huko huko! Usilete pua yako kwenye huu uzi. Wewe hujawahi kuwa mfariji wa walimu hata pale wanapofanya vizuri.
Halafu walimu acheni stress basi! Shida ni nini? Kama mtoto ameshindikana si mumuache? Ni mwalimu gani wa serikali aliwahi kufukuzwa kazi kwa kumfelisha mwanafunzi, ukiondoa mikwara mbuzi ya hapa na pale kutoka ofisi za Elimu?
Ona sasa mnaingia kwenye matatizo kwa sababu ya kujiona nyinyi ndiyo warekebisha tabia namba moja za watoto nchini!
https://www.facebook.com/Kuna Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro iliyopo mkoani Mara - Bunda Vijijini kachapwa viboko na Walimu takribani 30 mpaka amefariki Dunia, tukio limetokea SaaSaba Mchana Agosti 19, 2026.
Jeshi la Polisi latoa tamko ~ RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6