Roho ya kisasi kwa vile amegonga halafu akatimua bila kusimama utadhani kagonga upepo au panya.!
Madereva wengi wanakimbia na watazidi kukimbia pindi wanaposababisha ajali kama ninyi watumia barabara hususani watembea kwa miguu hamtobadili tabia ya kuwapiga. Mmekuwa mkijichukilia sheria mkononi as if alimgonga makusudi. Acheni kwanza tabia za kuwapiga na wao watakuwa wanatoa ushirikiano
Kwa mfano hapo umeeleza kuwa, baada ya kumgonga alikuwa akirudi nyuma kuangalia ni nini kilichotokea, lakini aliposikia makelele yenu as if ni jambo la ajabu sana kutokea, akaamua kukimbia. Hata ingekuwa mimi bado ningekimbia kuhofia makelele yenu na sintofahamu mliyoitengeneza.
Wote tukitii sheria hakuna mahali tutakuja laumiana, na sote tutakuwa salama.
R.I.P marehemu na pole nyingi ziwafikie wafiwa. Amen
:bange: Boom likitoka wanachuo mnalewa sana..r.i.p
Umesema sisi watembea kwa miguu sio.?! Wewe chooni pia unakwenda kwa gari.eti eeh.,!?
Mpaka sie watembea kwa miguu tukaamua kupiga bila shaka kuna sababu fikiria ndipo uimbe.! Na si mara wala sehemu zote mnapigwa nyie watembea kwa magari.!
Kwa hili jibu tu inaonesha wewe ni kati ya wale wenye gari wenye roho mbaya na katili kwamba hata ukigonga mtu na hapana watu pia utakimbia
Visingizio vingi iiii unapaka rangi upepo.!
Makelele yanakutia hofu wewe.? Ukute unakaa manzese nyodo za bure! Na kila wakikimbia ndo wakikamatwa watahadithia.! Na mtapigwa sana mana hata kama mna makosa mahakamani na polisi mnahonga kesi zife.! Jirekebisheni nyie watembea kwa magari kwanza.
si ndo yule kijana wa Lyamungo kweli ??