TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari

TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari

mtoa mada amefanikiwa kutujuza kuwa yy n kiongoz daruso, hilo mosi kafanikiwa. pili kafanikiwa kuueleza umma wa GT kuwa alishuhudia tukio zima hvo n shuhuda tho kazngua sana msaada watu huwa hatuhesabu na kisasi sio njia sahihi ya kukabiliana na matatzo, kama ulvosema umakin wakat wa usiku wahitajka sana ukzngatia weng macho yetu n mabovu hupenda kutuaminisha kuwa gar zapo mbali sana kumbe si hvoooo....

tuwen makin wakat tunavuka barabara wakuuuu
 
we n muuaji ukute ndo uliemgonga na huyu sema umekuja hapa tungo nyingne,, unajskiajee kuwa umeshaondoa roho za bnadamu wenzako wawili mpaka sasa?
 
Roho ya kisasi kwa vile amegonga halafu akatimua bila kusimama utadhani kagonga upepo au panya.!

Madereva wengi wanakimbia na watazidi kukimbia pindi wanaposababisha ajali kama ninyi watumia barabara hususani watembea kwa miguu hamtobadili tabia ya kuwapiga. Mmekuwa mkijichukilia sheria mkononi as if alimgonga makusudi. Acheni kwanza tabia za kuwapiga na wao watakuwa wanatoa ushirikiano

Kwa mfano hapo umeeleza kuwa, baada ya kumgonga alikuwa akirudi nyuma kuangalia ni nini kilichotokea, lakini aliposikia makelele yenu as if ni jambo la ajabu sana kutokea, akaamua kukimbia. Hata ingekuwa mimi bado ningekimbia kuhofia makelele yenu na sintofahamu mliyoitengeneza.

Wote tukitii sheria hakuna mahali tutakuja laumiana, na sote tutakuwa salama.

R.I.P marehemu na pole nyingi ziwafikie wafiwa. Amen
 
Umesema sisi watembea kwa miguu sio.?! Wewe chooni pia unakwenda kwa gari.eti eeh.,!?

Mpaka sie watembea kwa miguu tukaamua kupiga bila shaka kuna sababu fikiria ndipo uimbe.! Na si mara wala sehemu zote mnapigwa nyie watembea kwa magari.!

Kwa hili jibu tu inaonesha wewe ni kati ya wale wenye gari wenye roho mbaya na katili kwamba hata ukigonga mtu na hapana watu pia utakimbia

Visingizio vingi iiii unapaka rangi upepo.!
Makelele yanakutia hofu wewe.? Ukute unakaa manzese nyodo za bure! Na kila wakikimbia ndo wakikamatwa watahadithia.! Na mtapigwa sana mana hata kama mna makosa mahakamani na polisi mnahonga kesi zife.! Jirekebisheni nyie watembea kwa magari kwanza.
 
r.i.p mwanafunzi,kuna mdau ametoa maoni yake nayaunga mkono cctv inahitajka barabaran sio tu kwa ajili ya ajar hata kwa matukio ya kihalifu yatasaidia,madereva watakuwa makini wakijua kuna kamera zinawafatilia.poleni wanafunzi wa ud
 
Umesema sisi watembea kwa miguu sio.?! Wewe chooni pia unakwenda kwa gari.eti eeh.,!?

Mpaka sie watembea kwa miguu tukaamua kupiga bila shaka kuna sababu fikiria ndipo uimbe.! Na si mara wala sehemu zote mnapigwa nyie watembea kwa magari.!

Kwa hili jibu tu inaonesha wewe ni kati ya wale wenye gari wenye roho mbaya na katili kwamba hata ukigonga mtu na hapana watu pia utakimbia

Visingizio vingi iiii unapaka rangi upepo.!
Makelele yanakutia hofu wewe.? Ukute unakaa manzese nyodo za bure! Na kila wakikimbia ndo wakikamatwa watahadithia.! Na mtapigwa sana mana hata kama mna makosa mahakamani na polisi mnahonga kesi zife.! Jirekebisheni nyie watembea kwa magari kwanza.

Ndugu kuna ukweli kwa alichokisema.hata Mimi ingekuwa ngumu kusimama kwasababu ya hofu ya kupigwa au kuuwawa....jamii ijifunze kuto kujichukulia sharia mkononi naamini angesimama na kumuwahisha hospitali
 
Poleni wafiwa, poleni UDSM
Ajali zote husababishwa na kosa fulani. Nimepita hapo ubungo mara nyingi nimeona watembea kwa miguu wakivuka barabara huku trafik naye akiruhusu magari hivyo kusababisha usumbufu katika muongozo wa trafik. Tutumie busara tufuate ishara za askari au taa za kuongoza magari na tutumie zebra cross kwa usalama wetu wote
 
Nikiwa kama mwanafamilia ya wahandisi, nasikitika sana kulipoteza jembe hili ambalo miezi michache ijayo tungelikaribisha kwenye familia yetu.Mwenyezimungu ampumzishe kwa amani.
 
nimesoma na jamaa O level LYAMUNGO nimelala na jamaa room mojana jamaa f3 nayaandika haya huku machoz yakinitoka coz ajali imezima ndoto ya msela ya kuwa mhandisi soo inauma asee

nimetoka kuongea na wewe jumamosi tukipeana ahadi ya kukutana j2 kumbe ndo ulikua unaniaga kwaheri kaka

R.I.P jembe eggy pumzika kwa amani kaka
 
Back
Top Bottom