Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

wapendwa napenda kuuliza swali kwamba hv selection mwisho wake ni lini maana mm katika profile yangu kila nikifungua mara wameongeza siku mara mwisho ilikuwa ni tarehe 16 kwa sisi tuliomba kupitia nacte lakini nilipofungua profile nikakuta wameongeza simu tena nashindwa kuelewa kwamba selection ni mpaka lini mwisho wake
 
Msaada kwa mwenye nazo contact za St Augustine institute of health Science muheza anisaidie kupata joining instructions au anijuze kupitia number hii 0682580560 /0653273420
 
Am looking for one who will teach me Autocad.
(Electrician). Ani PM
 
msaada jamani, kwenye joining instruction Mbulu school of nursing a nitumie

0754747458
 
wakubwa nisaidieni hili
badili neno Mkono kuwa Kielezi,
badili neno Kwenda kuwa Nomino,
badili neno Mzazi kuwa Kitenzi,
badili neno Bisha kuwa Kivumishi.
naombeni msaada wenu kwa hayo tu
 
wakubwa nisaidieni hili
badili neno Mkono kuwa Kielezi,
badili neno Kwenda kuwa Nomino,
badili neno Mzazi kuwa Kitenzi,
badili neno Bisha kuwa Kivumishi.
naombeni msaada wenu kwa hayo tu

Mkono- mkononi
Kwenda- mwendo
mzazi- zalisha/ zaa
Bisha- mbishi
Hapo ni kama ulivyouliza. Karibu by mwl wa Kiswahili.
 
Wakubwa nisaidieni namna ya kuhama chuo cha afya kupitia central admission stysem

kwa sasa ni ngumu kidogo labda uende kwenye hicho chuo unachotaka kuhamia moja kwa moja ukaombe kujiunga maana CAS kwa nacte wamefunga.
 
kwa maswali yoooote ya falsafa... waje kwangu.. mfano kwanini tupo duniani... au kwanini tunakufa etc
 
Back
Top Bottom