Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Where voice of human being is come from?



daaah kwa kiingereza hiki nafikiri hujafika form six,

hivyo nikueleza about speech production and responsible organs, places and manners articulation sidhani kama tutaelewana!
 
jadili kuhusu sifa za matini za sayansi na teknolojia na vikwazo vinavyoweza kumsumbua mtafsiri wakati wa mchakato wa kutafsiri
 
jamani maswali yote ya baiolojia ila topic ya reprodaksheni tu yote kwangu
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.

Kaka swali langu hili hapa
image.jpg
 
Back
Top Bottom