tuzza the best
Member
- Jan 19, 2015
- 5
- 0
leader are born not made."discuss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refute the fallacy that #HapaKaziTu will completely not work in Tanzanian political atmosphere.
SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
Where voice of human being is come from?
Naomba unisaidie how to form nouns (noun formation)english language form one mpaka form six ask me ntakujibu
Naomba unisaidie how to form nouns (noun formation)
Naomba kuliza what is free and fair election?
Okay nisaidie basiNorminalization jina la kitaalamu
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.