Ngombe wote jumla waite Y. Sasa 0.2 ya Y wanaumwa ila wapo. Jumlisha na 180 wasioumwa jumla yao ni Y. Tafuta thamani ya Y hapo:jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
Nadhani umekosa kaka. Acha uvivu
Kaka na wewe umekosa. Kwanza ukiona umepata jibu na decimals hapo jiulize tena. Ila acheni uvivu was kufikiri. Sometimes hesabu inataka reasoning tu. Ngombe waliokwishakufa utawawekaje kwenye kukokotoa Ngombe alionao?waliokufa + wagonjwa + wazima = jumla ya ng'ombe
waliokufa/jumla + wagonjwa/jumla + wazima/jumla = jumla/jumla
1/4 + 1/5 + 180/jumla = 1
180/jumla = 1 - 1/4 - 1/5
180/jumla = 20/20 - 5/20 - 4/20
180/jumla = (20 - 5 - 4)/20
180/jumla = 11/20
180*20 = 11*jumla
180*20/11 = jumla
jumla = 327.27272 (327+3/11) cows
Mzee Yagayaga alikuwa na ng'ombe 327+3/11 (327.2727)
Lakini robo (81+9/11) walikufa, kwa hiyo amebaki na ng'ombe 245+5/11 (245.4545)
Kauliza katika past tense au past continous tense? Nadhani muulizaji kakosea labda. Umemjibu katika past continous tense na sio past tense aliyoitaka yeye. Should have been "they climbed a tree". Kama alivotaka yeyeThey were climbing a tree.
Kauliza katika past tense au past continous tense? Nadhani muulizaji kakosea labda. Umemjibu katika past continous tense na sio past tense aliyoitaka yeye. Should have been "they climbed a tree". Kama alivotaka yeye
Inawezekana umeshajibiwa ila nimejaribu kukokotoa piaString A is 2m long and has a linear mass density of 9g/cm3. String B has a linear mass density of 18g/cm3. If the tension in both strings is the same, how long must string B be for it to be at resonance with string A?
240jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
300Hii thread ni nzuri sana na yenye maana na pia kuna walimu na wajuzi wa mambo mengi ILA tatizo ni wauliza maswali...sijui Watz tuna laana gani yaani kila kitu siasa na masihara....Mungu atusaidie tu.
Nadhani umekosa kaka. Acha uvivu
KRB WLM 2PO WAKUJITOLEA TUTALIPWA MBINGUNI AMA DUNIANI IKIWEZEKANAHabari..kwa wakubwa shkamooni..ni hv mie mgeni humu ndyo nimeingia jana tu..ila nimependa group hli cos mm ni mwanafunzi so wakuu nikaribisheni humu..na nitakuwa nauliza maswali ila msinichoke..Ahsanteni
Ngombe wote jumla waite Y. Sasa 0.2 ya Y wanaumwa ila wapo. Jumlisha na 180 wasioumwa jumla yao ni Y. Tafuta thamani ya Y hapo:
0.2Y + 180 = Y
0.2Y - Y = 0 - 180
-0.8Y = -180
0.8Y/0.8 = 180/0.8 = 90/0.4 = 45/0.2 =22.5/0.1
= (22.5x10)/(0.1×10) = 225/1 = 225 cows
Achana na ile 1/4 ya Ngombe kwani hao mzee yagayaga hana walishakufa.
Mzee yagayaga Ana jumla ya Ngombe 225 wanaoishi. Kati ya hao wasioumwa ni 180 na wanaumwa ni 225 - 180 = 45
Acha uvivu.