Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Define dark
Dark means absence of light.Total absence of light result total darkness
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Define dark
pamoja na kumwambia arekebishe, ni vyema kufahamu mchakato uliotumika kwani tukizingatia umbo la ndani la neno "waalimu" ni sahihi.
unaposema "walimu" unakuwa umefanya "udondoshaji" ambapo irabu zinazofanana zikifuatana moja hudondoshwa.
naomba kuwasilisha.
Mpira umedondoshwa kutoka juu kimo cha mita 9 (tisa). Je, baada ya kudunda mpira huo utarudi juu kwa kimo gani?
Wakuu napendakufahamu iwapo matokeo ya kidato cha sita 2015 yatatoka lini? Msaada wenu tafadhali.
Why do oxygen support combustion?
Nilikutana na hili swali nikapita mbio
"Fasihi simulizi ni sawa na kaptula iliyokosa mifuko" jadiri ukakasi wa dai hili
Twende kazi we mtaalamu
Geography!!
What is Hydrological Circle... Why Drought and then Desertifaction, if Hydrological Circle exists?
Hujaeleweka katika neno kiswahili au lugha kiswahili kwa ujumla?
Awali ya yote unapoona neno "JADILI" basi una mawanda mapana kujieleza nikimaanisha waweza kulikubali au kulikataa swali.
JIBU
Utakataa swali kwamba si kweli fasihi simulizi ni sawa na kaptula iliyokosa mifuko bali ni sawa na kalamu ya dhahabu yenye thamani kubwa inayohitajika katika jamii kisha utatoa umuhimu wa fasihi simulizi huku ukionesha kuwa si sawa na kaptula iliyokosa mifuko(isiyo thamani) kama ifuatavyo
1.Kuelimisha jamii
2.Huiburudisha jamii
3.Huifadhi amali za jamii zisipotee
4.Kuonya na kuiasa jamii
5.Hukuza lugha kwa kuibua misamiati mipya kila uchao
6.Hupatanisha na kuleta watu pamoja. (Utaongezea pia we mwenyewe)
Hitimisho:
Fasihi simulizi ni kongwe hata kabla ya ujio wa maandishi kwani ya kale ni dhahabu na haifananishwi sawa na kaptula iliyokosa mifuko.
Swali lolote linalohusu biology na wildlife nitajibu kwa ufasaha