Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 554
- 915
hahaha hakuna uchawi mkuu hapa utafanya freezing au unaweza ukapima ujazo wa ndo alafu unachukua ujazo wa maji na ndooo unatoa ujazo wa ndoo unapata ujazo wa maji tu
wew ngoja nikueleweshe katika physics maji ya baridi ni mazito kuliko maji ya moto (jaribu hata nyumbani kwenu kwa kuchukua ndoo mbili zenye maji tofaut ya moto na baridi) hivyo unapo freez mass ya maji itakuwa kubwa"
cha kufanya;
chukua maji ambayo unataka kuya pima(salt or pure water) weka kwenye ndoo bila ya ku_freez alafu pima kweny mizani unapata mass ya ndoo na maji,
then unapima ndoo peke yake
mwisho unachukua mass ya ndoo na maji unatoa mass ya ndoo peke yake. UNAPATA JIBU