DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Jamani mi nataka kujua kwa mtu ambaye o'level amepata F ya math lakin masomo mengne yte ana B,B+ na C moja,, je Ananafac ya kusoma CBG/PCB huko A'level?
Combination inaruhusu,ila tia akili mwenyewe, combination zote kwa advance lazima usome na hesabu.( BAM) kwa hiyo kama unadhani hesabu ni tatizo.......bt atleast cbg ila pcb, physic na chem zinahesabu za kutosha.