Andres Gift Barack
New Member
- Mar 13, 2015
- 4
- 0
Post za kuchaguliwa kuingia kidato cha tano na vyuo vya ufundi zinaangaliwa website gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post za kuchaguliwa kuingia kidato cha tano na vyuo vya ufundi zinaangaliwa website gan?
shule zifungue kwa kweli .....hii tabu iishe huku mahali
jaman habar za leo, mm nmesikia kuwa tarahe ya kuomba mkopo imesogezwa mbele imekua tarehe 18 julai.naomba kuuliza hzi taarifa zina ukwel?
Ndugu, rekebisha hapa.
waalimu iwe walimu.
Sio kila kitamkwacho ndivyo kinavyo andikwa, hata kama unahisi kinaleta meaning.
SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
lita ni volume huwezi kuibadilisha moja kwa moja kua kilo mpaka uwe na density ya iyo liquid na utatumia
mass =density *volume
lakini liter utaichenge into m^3
Apo lazma ujue ni lita ya kitu gani mana density ya maji sio sawa na mafuta ....kama ni ya maji fanya hivi ....lita moja ni desimita cubic 1000 then volume=mass/density apo itakusaidia kujua uzito wa lita moja ya maji