Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

geography has been considered as a disciplinary subject in our social,political and economical life.why geography is considered as a disciplinary subject in our social,political and economical life?

Inshort and clear, because we are not writing an essay i can dare say
Geography as a discipline touches our daily lives in every aspects we know

That's why we sometimes consider geography as a multi Disciplinary subject

Geography takes a root into practical and physical issues, environmental issues, natural distribution, economical and population, statistics, maps etc etc, just to mention few

All these above argued makes geography unique discipline thas roots itself into our daily, social, economic and political life
 
Naombeni msaada wa swal hili, mambo yanayosababisha utata katika lugha
 
Naombeni msaada wa swal hili, mambo yanayosababisha utata katika lugha


1.neno kuwa na maana zaidi ya moja
2. matumizi ya mzungumzaji/mwandishi
3.matumizi ya lugha ya picha
4.kutumia maneno bila kuzingatia muktadha
5. utamkaji wa maneno
6.mjengo wa maneno mf. alimpigia mpira.
(nmetafsiri kutoka english -kiswahili)

wataalamu wa kiswahili wanakaribishwa kukosoa
 
Kwa ufupi watu wameleta mizaha, na kejeli, cjaona aliejenga swali thread nzima kwa nia ya kutaka kufundishwa, wengi wapo nje ya madhumuni ya Uzi huu

Tanzania nchi ya kusadikika sana kwenye vitu makini watu wana mizaha, kwenye mizaha wanachangia kwa makini

Nenda MMU utajua nnachomaanisha
Kweli kabisa mkuu ndo maana sisi tunarudi nyuma wakati wenzetu wanasonga mbele
 
Vilevile utata katka lugha unaweza kutokea kama mzungumzaji ataonesha mkaza wa maneno.
mfano neno kama barabara
 
Vilevile utata katka lugha unaweza kutokea kama mzungumzaji ataonesha mkazo wa maneno.
mfano neno kama barabara
 
Back
Top Bottom