Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

nataka kujua kipi kinasababisha jua kutoa mwanga??? msaada tafadhali
 
instead of having both magnitude and direction,electric current is not a vector quantity.explain
 
Sasa nyinyi walimu na wanafunzi mnauliza maswali ya mkokotoo(calculation) unapewa Jibu bila ata njia alafu unakubali kirahisi kweli unaakili?

Daa hii elimu itazidi kushuka tuuu kwa mtindo huuu.
 
Jaman nauliza vyuo vikuu Tanzania ambavyo vinamatatizo makubwa vyuo hivyo ni Kampala na st Joseph arusha bado vipo kwenye orodha ya uombaj udahili kwa mwaka huu?
 
Jaman nauliza vyuo vikuu Tanzania ambavyo vinamatatizo makubwa vyuo hivyo ni Kampala na st Joseph arusha bado vipo kwenye orodha ya uombaj udahili kwa mwaka huu?

Angalia list ya vyuo kwenye tcu guide.kama vipo andika.wakikupangia alafu ukapata shida watakuwa responsible
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Naomba kuuliza hiv mtu akidisico chuo flan alaf mwakan akaomb chuo kingine anaweza kupew mkopo na loan board??
 
Naomba kuuliza hiv mtu akidisico chuo flan alaf mwakan akaomb chuo kingine anaweza kupew mkopo na loan board??

sio mkopo tu, hata chuo hupati. kudisco mwaka huu halafu mwakani uombe tena ni ngumu..
 
Swali langu ni hivi hivi kwa nini wakati wa kusex huwa nikikaribia kupiga bao natoka vipele mwili mzima na wakati mwingine napiga kelele kwa ajili ya utamu? Naomba mwalimu wa biology unisaidie
 
Swali langu ni hivi hivi kwa nini wakati wa kusex huwa nikikaribia kupiga bao natoka vipele mwili mzima na wakati mwingine napiga kelele kwa ajili ya utamu? Naomba mwalimu wa biology unisaidie

utakuwa na ugonjwa wa upungufu wa kinga. kapime
 
Chuo unapata kk coz tcu ndo wanachagua Na hiko CO kigezo chao cha kukosa Ishu ipo heslb kk

aisee unasoma chuo gani wewe? au ulimaliza mwaka gani?

kikanuni ndio hivyo huwezi pata chuo mapema hivyo, ila wapo wanachakachua utaratibu, hawaombi kupitia tcu tena bali wansomba nafasi chuoni moja kwa moja tena chuo cha private, mfano si ajabu mtu kudisco MUHAS mwakani ukamkuta KIU. ukopo ukiendelea kuflow ujue kuna hujuma zinafanyika hapo.
 
Back
Top Bottom