Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

aisee unasoma chuo gani wewe? au ulimaliza mwaka gani?
kikanuni ndio hivyo huwezi pata chuo mapema hivyo. ila wapo wanachakachua utaratibu, hawaombi kupitia tcu tena bali wansomba nafasi chuoni moja kwa moja tena chuo cha.private, mfano si ajabu mtu kudisco MUHAS mwakani ukamkuta KIU. ukopo ukiendelea kuflow ujue kuna hujuma zinafanyika hapo.

Mm niko Udsm kuna jamaa alidisco pale UD mwak uliofat akaaply ardhi na mpak sas yupo hpo Anasoma sas Cjui Ww sheria hio ulickia Wap
 
Mm niko Udsm kuna jamaa alidisco pale UD mwak uliofat akaaply ardhi na mpak sas yupo hpo Anasoma sas Cjui Ww sheria hio ulickia Wap

hujaelewa nilichoandika kijana, fungua fahamu zako uelewe mbona unakuwa mzito hivyo kuekewa.

Hii tanzania.
 
mm nifahamishen kuhusu bachelor of mental health and rehabitation hutelewa hapo sekomu sijui inahusu nn na muhitimu wa hi koz atakua nani.
 
Nisaidie swali la history
"by the end of 15th century, africa and europe had reache the same level of development." discuss
 
Nisaidie swali la history
"by the end of 15th century, africa and europe had reached the same level of development." discuss
 
Naomba kujua website inayoweza kutoa msaada wa masomo ya o level na mitihani niwweze kumsaidia binti wangu.
 
Cha kwanza unatakiwa utambue swali linataka nini. Swali linataka udiscuss. Kwa maana hiyo katika hilo swali unaweza ukakubali au ukakataa.

Lakini ukikubali,utakuwa katika upande mzuri zaidi wa kujitetea na kupata point nyingi. Ukishaandika introduction yako,utaijaziliza na maneno haya(....it is true that by 15th century Africa and Europe had reached the same level of development as discussed below.) baada ya hapo utaangalia mambo yafuatayo ambayo ndo yatakuwa point zako...
EDUCATION
IRON TECHNOLOGY
AGRICULTURE
POLITICAL SYSTEM
TRADE
...etc

Ukiangalia hivyo vipengele,vyote vilikuwepo ..yaani Afrika na Europe by 15th century.Ndo maana tunakubaliana na hilo swali.

NB;Sio kwamba maendeleo ya Afrika na Ulaya yalikuwa sawa kabisa.Hapana.

Kwa kiasi Fulani yalilingana (...ALMOST THE SAME) Kcaldozo
 
Last edited by a moderator:
Jamani samahani najua kabisa kuwa huenda si mahala pake lkn nauliza nini vigezo na hatua za kuanzisha Zahanati binafsi??
 
Jamani samahani najua kabisa kuwa huenda si mahala pake lkn nauliza nini vigezo na hatua za kuanzisha Zahanati binafsi??

Na kweli sio mahala pake kabisaaa...jaribu kusearch humu hum JF..kuna nyuzi zinazungumzia hyo ishu yako...zitakusaidia
 
unachotakiwa kwanza uwe na mchoro wako wa umbo husika kama swali lipo katikamaelezo uchore kutoka na maelekezo kisha utapata equation mbili tofauti kutoka katika umbo hilo kama zifuatazo:

1; a+3y = 360° (nyuzi)

2; a+a +y =180°(jumla ya nyuzi za pembe tatu pacha)

baada ya hapo solve kama simultaneous equation uyapata "y=108°"
 
Pembetatu pacha, angle ya juu ndani ni thamani ya'y' na angle mbili za ndani chini ni pacha, pia angle ya nje upande wa pacha ni thamani ya'3y' tafuta thamani ya 'y'


05 Today
unachotakiwa kwanza uwe na mchoro wako wa
umbo husika kama swali lipo katikamaelezo
uchore kutoka na maelekezo kisha utapata
equation mbili tofauti kutoka katika umbo hilo
kama zifuatazo:
1; a+3y = 360° (nyuzi)
2; a+a +y =180°(jumla ya nyuzi za pembe tatu
pacha)
baada ya hapo solve kama simultaneous equation
uyapata "y=108°"
 
Who is god?,and what is the purpose of us being here?

God is:
A guy from the sky who never dies,
If he dies, never smells,
If he smells, nobody will know.


The question was just too tempting - sorry I was messing around.
Please don't follow me, I am lost.
 
Back
Top Bottom