geography has been considered as a disciplinary subject in our social,political and economical life.why geography is considered as a disciplinary subject in our social,political and economical life?
Refute the falacy that ukawa will not succeed to reach palace.
history njoo kwangu
what are the causes for constitution change? please answer me eight point
Mbona sioni wa biology
For physics & biology all levels.....nicheki
Naombeni msaada wa swal hili, mambo yanayosababisha utata katika lugha
Kweli kabisa mkuu ndo maana sisi tunarudi nyuma wakati wenzetu wanasonga mbeleKwa ufupi watu wameleta mizaha, na kejeli, cjaona aliejenga swali thread nzima kwa nia ya kutaka kufundishwa, wengi wapo nje ya madhumuni ya Uzi huu
Tanzania nchi ya kusadikika sana kwenye vitu makini watu wana mizaha, kwenye mizaha wanachangia kwa makini
Nenda MMU utajua nnachomaanisha
i wish ungezaliwa enzi za Idd amin
What Are The Importance Of EAC