Njoo PMSamahan kama kuna mtu anaweza kunisaidia material ya Advanced chemistry soft copy ya Ngaiza
HKL Imebalance hapoNaombeni munisaidie nna mdogo wangu amemaliza four four mwaka huu amepata kiswahili C, English C, bioD, history D, civic D, geo D, je asomeee nini kulingana na matokeo yake
CommerceKwa bookeeping na commerce form 1-6 nitajibu. Accounting profesional from diploma upto 1st bachelor tutapeana mawazo/maoni/discusion n.k.
Hii linear programing mpk leo ujapata majibu?Naomba kusaidiwa kusolve swali hili, Mwanangu kaniletea limenishinda
Natanguliza shukranView attachment 1750924
Ukishawarudishia shillingi mia moja kila mmoja watu wawili wale uliokuwa umewakopa elf tano kila mmoja, mpaka hapo inakuwa umewakopa shilling 9,800/= . Kwa hiyo mpaka hapa unakuwa kama ulienda dukani ukiwa na shilling 9,800/= na kununua ngu kwa shilling 9,700/= na hivyo lazima ubakiwa na shilling 100/=.Hili hapa! View attachment 1782076