Philipo207
Member
- Jun 29, 2022
- 8
- 9
Naomba proposal project of lack of desks in school
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁We ushafeli tayari
Kuku alianza..kuku ndio kiumbe na yai ili liwe kuku lazima kuku alitamie iyo kisayansiKati ya Yai na Kuku,
Kipi kilianza kuwepo duniani?
Naomba kuelimishwa namna ya kutafuta gradient kwenye ramani.
Mkuu, fanya ukokotoe basi. Hiyo distance na elevation nazipataje...!?
Iko wapi hiyo ramani?Mkuu, fanya ukokotoe basi. Hiyo distance na elevation nazipataje...!?
Kwa ile picha ya mwanzo nikajua ungekadiria tu namna ya kufanya.Iko wapi hiyo ramani?
Inahitajika kujua details za hiyo ramani, ambayo iko kama Topographic map inayoonyesha contour lines, angalia mfano huu hapa
View attachment 2938611
DuniaKati ya Yai na Kuku,
Kipi kilianza kuwepo duniani?
Naomba kuuliza pia kwan kati ya mimba na mama nani alianza? nadhani jibu la hili swali litakuwa sawa na swali lakoKati ya Yai na Kuku,
Kipi kilianza kuwepo duniani?
Kwa msaada wa.........Let (X) be a compact metric space and (V) be a strongly continuous semigroup of contractions on (L^p(X)) for some (1 \leq p < \infty). Assume that (V) is irreducible, i.e., there is no closed subspace of (L^p(X)) invariant under all operators in (V).
Prove that if there exists a function (f \in L^p(X)) such that (V(t)f \to 0) weakly in (L^p(X)) as (t \to \infty), then the spectrum of the generator (A) of (V(t)) is not discrete.